Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

haya ndo madhara ya kuwaweka makada badala ya prf kwel chama kimeshika hatamu kama wanaweza kuwaweka hata viongoz wa ulinzi na usalama wa watanzania ni makada watashindwa kuwaweka kwenye v2 ambavyo hata ukiwa na kipaji tu unavifanya?

Ila nadhani mwisho wa hao watumishi wa tbc haupo vema.
 
Siwezi kuiangalia TBC kama nina akili zangu timamu
 
ingekuws kutukana si dhambi basi ningesema.tbc ni redio ya shetani maana ni wabaguxi wabaguzi balaaa.lkn kwa kuwa matusi ni dhambi acha niendelee kusema tbc ni eti redio ya umma japo ni ya uma wa wana ccm

Tbccm ni janga la taifa
 
kwana serikali si ccm?!kwa nini TBC isiwe ccm wakati ni chombo cha setikali.jitahidi kununua azam dekoda jamani.tuangalie mambo ya kiutu uzima kutoka UKAWA.....

Lakini mishahara wanayolipwa watumishi wa hiyo TBC na vitendea kazi vya TBC ni kodi za watanzania wote, siyo wana ccm pekee yao.Uhuru radio,mzalendo,na gazeti la uhuru wasipo tangaza habari za upinzani positively hakuna mtu wa kuvilaumu
 
Ha haaa leo kwenye muhtasari wa habari wameonesha Lowasa akichukua fomu lakini habari yenyewe haikusomwa hatariii.
 
Leo mda huu niko naangalia TBC1 eti wanaonyesha habari za magufuri wakati kuna habari moto ya mafuriko ya Lowasa, ama hawa ni ma CCM? Mim nlijua ni TV ya taifa
 
inawauma wanavumilia tu hao !
haimaanishi hawakusikia kwamba leo kulikua na tukio adhimu..
lol
 
Inawauma sana hahahahahahaha....... Vyombo vingine wanasema shughuli za mjini zikisimama kwa masaa 6
 
hivi wanavyominya habari za ukawa namna hii, wanakatisha maneno ili habari za ukawa zisisikike, ukawa wakichukua nchi si itakuwa bora mkurugenzi wao afukuzwe kabisa na hao vibaraka wake waende kwenye tv ya ccm?

hivi hawajui kama hiyo ni tv ya watz wote wa ccm, ukawa na act?, sasa mbona wanakuwa na akili za kijinga sana? huo ndio utoaji habari? hawaoni kama wanajiaibisha? hawajui kuwa watz siku hizi wana akili sana, wenzao itv wanatoa habari kama zilivyo mtaani, ziwe za ccm au ukawa wanazitoa kama zilivyo, wao akili zao zote ni za kijani....mmelaaniwa kama walivyolaaniwa wakuu wenu wa ccm. na mwaka huu mtakoma, tv yenu itakuwa haiangaliwi na yeyote, andaeni habari mzitangaze na mzisikilize ninyi wenyewe.

ni wiki mbili sana sijawahi kutune kwenye tbc, leo nikasema kwasababu kuan tukio kubwa la lowasa ngona niwajaribu nione wataonyesha au la, wemekuja kuonyesha mwishonii na maneno ya JUMA Duni wakayaminya kw akuedit sana....dawa yenu ipo jikoni.
 
TBC mi nilishaisahau kwenye akili, hata nikirudi home nikikuta mtu ameifungua nazima tv! Yan siipendi kwa sababu imekua tv ya ccm badala ya watz. Yan hia mvuto tena
 
kumbe TBC nacho kiumbe? mapya haya ila mi sina ubaya na mtu msije mkaniita ustadhiccm bure
 
Lakini mishahara wanayolipwa watumishi wa hiyo TBC na vitendea kazi vya TBC ni kodi za watanzania wote, siyo wana ccm pekee yao.Uhuru radio,mzalendo,na gazeti la uhuru wasipo tangaza habari za upinzani positively hakuna mtu wa kuvilaumu
Hii kauli huwa inanishangaza....KWANI WENYEWE KATIKA HIYO MISHAHARA HAWALIPI KODI?
Kwani wanapewa bure bila kuifanyia kazi hiyo mishahara?
Punguzeni lugha/maneno ya kujifariji...huna chako!!
Mwenyew hapo ushauzwa!
 
Back
Top Bottom