kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
Hao watu wa TBC, mkurugenzi wao ameteuliwa na Rais, wategemea freedom of press apo kweli? Ndo maana kabita ya Warioba ikasema wapungu nafasi za kuteuliwa, mtu yote anaye teuliwa kwa kiasi kikubwa analinda maslahi ya mteuzi wake. Hukuona Tido Mhando alivyo timuliwa baada ya uchaguzi mwaka 2010, alipo azisha kipindi cha mchakato majimbo