Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Twende na LOWASSA,sina imani na TBC
CC makada wa Lumumba TCRANaomba nisema ukweli kipindi Tido kaja kufanya restructuring ya TBC nilikua msikilizaji namba moja lakini cha kusikitisha Tido kakomaa kulifufua shirika Serikali haikumuongeza mkataba maksudi.
Matokeo yake shirika limekosa mvuto linaongozwa na chama tawala kinavotaka chenyewe habari zitolewazo ni unbalance wanaegemea upande mmja wakijua kua watazamaji wengi ni wa mijini ambao wanajua siasa, hivyo imepelekea kuichukia hii runinga.
Nitoe rai yangu TBC nyinyi ni kituo cha Taifa toeni tarifa balanced muone kama kuna watu watawachukia vinginevyo mtapiga maktme mpaka mwisho.
Naomba nisema ukweli kipindi Tido kaja kufanya restructuring ya TBC nilikua msikilizaji namba moja lakini cha kusikitisha Tido kakomaa kulifufua shirika Serikali haikumuongeza mkataba maksudi.

Sehemu yeyeto CCM imejikita zero performance.
CC Makada wa CCM TCRAAgalieni uhuni wa TBC
[video=youtube_share;6YKRs2dTgZw]http://youtu.be/6YKRs2dTgZw[/video]