ngalala
Senior Member
- Mar 29, 2015
- 160
- 84
ITV ni TV binafsi lakini TBC ni yetu wote ni lazima itende haki!mbona Lowasa ameinunua itv watu hawapigi kelele kama zako, kila kukicha ni kumpamba na kutoa taarifa hasi za chama tawala
ITV ni TV binafsi lakini TBC ni yetu wote ni lazima itende haki!mbona Lowasa ameinunua itv watu hawapigi kelele kama zako, kila kukicha ni kumpamba na kutoa taarifa hasi za chama tawala
Ona hii
Wengine tunaona hiyo kwenye clips hatuiangalii. Ila hapa wametia aibu sana. Pesa zetu za kodi wanazitumia kutunyima habari? Tukiwapiga mawe huko mitaani watatulaumu? Au tukichoma moto ofisi zao watatulaumu?Don't watch them wabaki na ujinga wao
Watch serious medias na pia simu yako ni TV tosha!
Sasa ww ulitegemea warushe habari za ukawa au chadema tambua kuwa TBC ni kituo kinachomilikiwa na serikali iliyopo madarakani na serikali iliyopo madarakan ni ya ukawa au ya chadema nauliza kwako mleta uzi? Lazima iwe ya chama kilichopo madarakani kwhyo usiumie subiri kama na ww utapata mamlaka ya chama chako kuwepo mjengoni pale mtayatekeleza yakwenu kwa xx achen tu ccm ifanye inavyotaka hupend usifungulie tbc
Nimefuatilia udondoz wa magazeti leo tbc nimeshangaa mtangaz kwenye habari ya lowasa haisomi anasoma tuu ya ccm hivi TBC n media ya ccm au ya taifa jaman watangazaji wanalipwa kwa kutumia kodi zetu kwa nn wajali maslah ya ccm
Ulikuwa unatafuta nini TBC?!