Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 860
Wanafuata maagizo toka JUU mkuu
379
ni haibu haibu kwa chombo cha uma. kuegemea upande wa chama cha mapinduzi kwenye utoaji wa taarifa za habari, ni wazi kabisa chombo hiki sasa kimetekwa kabisa na ccm. na mkurugenzi wake bw mshana amekubali kukabidhi chombo hiki kwa chama.
ni vyema uongozi wa TBC ukajua kwamba watakuja kuwajibika hapo baadae kwa ichi kitu wanachokifanya sasa. kwa kuegemea upande wa chama kimoja. chombo kimepoteza mvuto kimepoteza weledi.
kimepoteza sifa ya kuitwa. chombo cha uma?
bw mshana. jipime kama bado unastahili kuwa mkurugenzi wa TBC hufai kabisa umeharibu kabisa taswira ya chombo hiki.
toeni habari kwa usawa bila kuegemea upande mmoja,maana hiki chombo siyo cha ccm wala bw mshana. hiki chombo ni chetu wananchi. ni mali yetu. tuna haki ya kufurahia mali yetu.
wana ccm wana haki na wana UKAWA vile vile wana haki ya kupata habari bila kupendelea na kuegemea upande mmoja. wacheni tabia hii. maana mnavunja sifa ya kuitwa chombo cha uma.
wana jukwaa,
pamoja na ugumu wa tbc kusikika maeneo mengi ya nchi yaonyeeha wazi ilivyo biased katika kutuhabarisha ipasavyo kuhusu mwenendo wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015.
Hivi ni wagombea wa ccm tu ndiyo wanaofanya kampeni wenyewe na kusema?
Tuitake tbc itutendee haki habari ni haki na hasa kwa sisi tunayoilipia kuwepo.
Huyu Mshana wa TBC si ndio yule alikuwa Maelezo .ni kada wa ccm.kuna wakati alitakaga kugombea ubunge via ccm..anajua anacho Fanya nakwamba ccm ikishindwa nae kazi hana..tena waovyio alipokuwa Maelezo alikuwa kila siku anatoa maonyo kwa haswa waliokuwa awapendelei serkl ya ccmni haibu haibu kwa chombo cha uma. kuegemea upande wa chama cha mapinduzi kwenye utoaji wa taarifa za habari, ni wazi kabisa chombo hiki sasa kimetekwa kabisa na ccm. na mkurugenzi wake bw mshana amekubali kukabidhi chombo hiki kwa chama.
ni vyema uongozi wa TBC ukajua kwamba watakuja kuwajibika hapo baadae kwa ichi kitu wanachokifanya sasa. kwa kuegemea upande wa chama kimoja. chombo kimepoteza mvuto kimepoteza weledi.
kimepoteza sifa ya kuitwa. chombo cha uma?
bw mshana. jipime kama bado unastahili kuwa mkurugenzi wa TBC hufai kabisa umeharibu kabisa taswira ya chombo hiki.
toeni habari kwa usawa bila kuegemea upande mmoja,maana hiki chombo siyo cha ccm wala bw mshana. hiki chombo ni chetu wananchi. ni mali yetu. tuna haki ya kufurahia mali yetu.
wana ccm wana haki na wana UKAWA vile vile wana haki ya kupata habari bila kupendelea na kuegemea upande mmoja. wacheni tabia hii. maana mnavunja sifa ya kuitwa chombo cha uma.
Wana jukwaa,
Pamoja na ugumu wa TBC kusikika maeneo mengi ya nchi yaonyeeha wazi ilivyo biased katika kutuhabarisha ipasavyo kuhusu mwenendo wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015.
Hivi ni wagombea wa CCM TU NDIYO WANAOFANYA KAMPENI WENYEWE NA KUSEMA?
Tuitake TBC itutendee haki Habari ni haki na hasa kwa sisi tunayoilipia kuwepo.