Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

Ukuu wa wilaya utaupata vipi usipofuata maelekezo?
 
Hivi ving'amuzj wangeweka chaguo (option) ya kuifuta chanel usiyoitaka.
Tuifutilie mbali
 
Nina miaka mingi sana sijaangalia hyo Tv toka kipindi kile walipokatisha mechi ya Stars wakawa wanaonyesha cjui mchina gani,niliwachukia hadi leo
 
Sasa ww ulitegemea warushe habari za ukawa au chadema tambua kuwa TBC ni kituo kinachomilikiwa na serikali iliyopo madarakani na serikali iliyopo madarakan ni ya ukawa au ya chadema nauliza kwako mleta uzi? Lazima iwe ya chama kilichopo madarakani kwhyo usiumie subiri kama na ww utapata mamlaka ya chama chako kuwepo mjengoni pale mtayatekeleza yakwenu kwa xx achen tu ccm ifanye inavyotaka hupend usifungulie tbc

TBC si shirika la serikali iliyopo madarakani, TBC ni shirika la umma, yaani mimi na wewe. Haya mawazo ya kuwa TBC ni shirika la serikali iliyopo madarakani si sahihi. TBC ni yetu sisi wananchi, sisi ndio umma wa Tanzania.
 
TBC si shirika la serikali iliyopo madarakani, TBC ni shirika la umma, yaani mimi na wewe. Haya mawazo ya kuwa TBC ni shirika la serikali iliyopo madarakani si sahihi. TBC ni yetu sisi wananchi, sisi ndio umma wa Tanzania.
 
Kiukweli kituo cha television TBC kimevuka mipaka na sasa kinapendelea chama tawala wakati kinmaendeshwa kwa fedha za walipa kodi wa TANZANIA.Wanaudhi kupindukia.hawawezi kutumia kodi zetu halafu wafanye mambo watakavyo!! siku hizi habari zote za UKAWA na vyama vingine hawatangazi kabisa!! kWELI WATANZANIA TUMELALA INAKUWAJE TUMEWACHA WAFANYE WATAKAVYO KWA KUTUMIA FEDHA ZETU?
 
Video yenyewe ndo hii hapa.




Hahahahaha. Nimecheka sana. Yaani kwa makusudi kabisaaaaa hajasoma habari za Mafuriko. Tehe tehe! Alafu Magazeti anayoanza kusoma Habari Leo na Uhuru. Hakuna Mtanzania, Tanzania Daima. Duuh. Poleni mnaoingalia hii TV. Mnaweza kufikiri bado Lowasa yupo CCM. Hhahahaha
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini unawang'ang'ania? Wengi tulishaacha kuangalia hiyo chaneli. Nadhani wana watazamaji wachache sana! Hama huko!
 
mbona Lowasa ameinunua itv watu hawapigi kelele kama zako, kila kukicha ni kumpamba na kutoa taarifa hasi za chama tawala
 
Inabidi kweli kandamana. Wamezid kuuzi hawa. Kama mim nina mwaka na nusu sasa cjawah angalia huu uchafu
 
mbona Lowasa ameinunua itv watu hawapigi kelele kama zako, kila kukicha ni kumpamba na kutoa taarifa hasi za chama tawala

You are missing the point. TBC is funded by tax payers money (kwa Kiswahili heal za walipa kodi), Kama alivyo eleza mdau hapo juu.
 
Leo asubuhi mtangazaji wa TBC ametia aibu,amesoma magazeti analuka vichwa vya habari vilivyopamba magazeti anasoma habari ndondogo,hii ni aibu kwa chombo kama hicho cha kitaifa,fatikia kwenye simu tv muone kituko hicho,na hawa nao kwanini wasipewe onyo kama walivyopewa ITV
 
Inatakiwa TBC iendeshwe na mfuko wa Ccm,sio pesa kutoka serikalini moja kwa moja!
 
mbona Lowasa ameinunua itv watu hawapigi kelele kama zako, kila kukicha ni kumpamba na kutoa taarifa hasi za chama tawala

Hivi nawewe kuna ulazma wa kuchangia hata kama huna pointi unazungumzia ITV wakati hakiendeshwi kwa kodi za Watz ni kituo binafsi
 
Back
Top Bottom