- Thread starter
- #81
Wewe ndio takataka. Kwanza KANISA KATOLIKI SIO dhehebu. Bwege ata hujui historia ya ukristo. Madhehebu ni hao waliojitoa. Muda wa mahubiri ni baada ya injili tu. Huko kwingine ni kushindwa kumanage muda.Hili jamaa ni takataka kabisa! Kati ya madhehbu yanayizingatia muda ni Katoliki. Yaani ukalishe watu saa 4 unahubiri nini? Misa za Katoliki hazizidi saa 1.30 mfano Parokiani kwetu huwa tunaanza saa 12:00 alfajiri, saa 1:15 lazima awe amemaliza, maana saa 1:30 Misa ya Pili inaaanza.