bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,862
Alisemaje BHT??
hakunirushia maneno moja kwa moja ila alianza kukejeli yule jamaa alomwambia anirudishie pesa zangu, she was like 'aahmi sijui kurefund bana, hebu subiri na wewe kama vipi njoo utoe mwenyewe ( u can imagine the way she was uttering the words, a typical uswahilini lady with no proffessional ethics hata senti moja......
nilisimama kwa zaidi ya dk 10 na anaendelea kuhudumua wateja wengine, so asked for the manager and he came (ofcoz aliomba msamaha, what else could he do)
ilikuwa ngumu kwa mimi kutoka kapa bila angalau kumpa lako hapo japo kwa kifupi.....