klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
hehhe huoni ule wizi wa petroli morogoro umepungua siku hizi?, mzee SHWAZINEGA niliwatolea uvivu.NAZIONA DALILI ZOTE za kutangaza nia
hehhe huoni ule wizi wa petroli morogoro umepungua siku hizi?, mzee SHWAZINEGA niliwatolea uvivu.NAZIONA DALILI ZOTE za kutangaza nia
yaani huwezi kuamni afu huyu Nyamayao bana na yeye kanikumbusha machungu!!! it was a saturday afu kesho mi nasafiri, tumepanga mstari kwenye ATM every now n then hela zinaisha, eventually muda nao wa kufunga huduma za dirishani unafika, dah niakon ahii itakuwa aibu ya mwaka mtu mzima senti sina n ajioni miratiba kibao!!!
naenda niingie ndani nichukulie dirishani askari analeta kujua, nikampa yake afu akajifany akuniweka chini ya ulinzi nikamwambia sikai mpaka uniambie kosa langu ,ikapigwa simu central nikaazna kuuziwa kesi kw amaafande walokuja na landrover 101 (as if I cared). wakanitishia that I should jump in, dah nikajitosa, sasa afande mwingine akasema hivi huyu tunampeleka wapi na kwa lipi hasa? Mamii hebu kwanza.....nieleze wat happened, nikamweleza n anikasisitiza twende huko mnakotaka twende afu kitaelewekea huko huko.
aaah jamaa akamkoromea surbodiane wake na akanipeleka ndani iulaini nikajichukulia changu nikasepa!!!
JS when it comes to my right.....niko tayari kufia mikoni mwako....no joke!!!
hahahaha!hehhe huoni ule wizi wa petroli morogoro umepungua siku hizi?, mzee SHWAZINEGA niliwatolea uvivu.
kiruuuuu, wewe kiboko walllahh.
:faint::faint::faint:yaani huwezi kuamni afu huyu Nyamayao bana na yeye kanikumbusha machungu!!! it was a saturday afu kesho mi nasafiri, tumepanga mstari kwenye ATM every now n then hela zinaisha, eventually muda nao wa kufunga huduma za dirishani unafika, dah niakon ahii itakuwa aibu ya mwaka mtu mzima senti sina n ajioni miratiba kibao!!!
naenda niingie ndani nichukulie dirishani askari analeta kujua, nikampa yake afu akajifany akuniweka chini ya ulinzi nikamwambia sikai mpaka uniambie kosa langu ,ikapigwa simu central nikaazna kuuziwa kesi kw amaafande walokuja na landrover 101 (as if I cared). wakanitishia that I should jump in, dah nikajitosa, sasa afande mwingine akasema hivi huyu tunampeleka wapi na kwa lipi hasa? Mamii hebu kwanza.....nieleze wat happened, nikamweleza n anikasisitiza twende huko mnakotaka twende afu kitaelewekea huko huko.
aaah jamaa akamkoromea surbodiane wake na akanipeleka ndani iulaini nikajichukulia changu nikasepa!!!
JS when it comes to my right.....niko tayari kufia mikoni mwako....no joke!!!
upuuzi mwingine hauvumiliki, unajikuta tu umefanya the unexpected!!!
FAINTED!....
we ni kabila la mshiki eeh?!
leo tupo uholanzi, tena umenikumbusha ,acha nikafute TV mavumbi aisee.hahahaha!
haya mpwa....
vipi leo tupo brazil au uholanzi?
malalamiko yenu nimeyaona. nikiwa kama mteteaji wa kujitegemea wa haki za wanyonge, nitahakikisha wanaohusika wanafikishwa kunakohusika. Kaeni mkao wa kula. consider it done!
JS when it comes to my right.....niko tayari kufia mikoni mwako....no joke!!!
Yani jamani hasira zimenipanda mpaka kwenye koo. kwa nini hakuna customer service inayoeleweka hapa Tanzania?? sio makampuni binafsi sio mashirika binafsi na ya umma kotekote ni balaa.
Mtu unaenda benki unahitaji huduma rahisi tuu kupewa ATM card ambayo uliambiwa urudi baada ya mwezi ukarudi ukaambiwa bado haijawa tayari. ukapewa tena wiki mbili ukaamua kuchukua mwezi kabisa uwape muda wa kutosha. unarudi baada ya mwezi unamkuta yule anayetoa kadi hayupo kapata sijui dharura or something.
Unaongea na assistant branch manager unamuambia umekuja kuchukua ATM card and she tells you anayetoa hayupo so what kama hayupo??? unamuuliza okay fine hayupo but atleast there has to be someone else to take cover anakupa silly excuses with some stupid attitude sijui si nishasema ni emergency kashindwa kuja sijui security reasons sijui hakuna mwenye password zaidi yake kwa nini kusiwe na mtu anayechukua desk in cases like these??? anakuangilia like what is wrong with this mtu standing on my desk asking me all these questions??? utadhani mtu akiwa hayupo basi na ofisi imehama au imeondoka naye.
We need to change kwa kweli. nyie wote wenye makampuni na ofisi inabidi muanzishe trainings za customer service kwa wafanyakazi wenu especially BANKS. mtapoteza wateja. ni bora kubank fedha account za nje kuliko kubank za hapa na huduma zenu mbovu. MBADILIKE.
Unadhani hawajui kwamba watu wana wamaindi? Wao wanasema (niliowasikia mimi) kwamba tunaolalamika ni waliotoka nje ya nchi. Ambayo inawezekan ni kweli, japo hilo halifanyi complaints zetu ziwe wrong. Mfano, mimi binafsi kama nisingetoka nje sidhani kama ningeshtukia kwamba hii huduma ni mbovu. Kabla sijatoka nilipoambiwa kwenye ofisi ya mtu au huduma yoyote Bongo kwamba mhusika katoka, nilikuwa naona kama ndio kawaida fulani hivi, ni poa tu, ndio mazingira niliyokulia. Lakini nilipotoka nje ya nchi na kuona watu wana call out of work kama kawaida na replacement sio tu ipo, bali hakuna kazi ambayo ni mtu mmoja tu anaijua bank au huduma nyingine nikaona aanhaa, kumbe zile tunazoleteana home sio poa, kumbe there is no freaking reason uambiwe mhusika anaetoa bank card ana udhuru. Nchi za nje the manager will go do the damn job herself if she didn't train anyone else to do it when Mr. Card Maker calls out. Kwanza ni haiwezekani, you know? Ridiculous.I wish wangekuwa wanazisoma hizi posts!
Kwa bongo kweli Benki kuna kazi, niliwahi kwenda NMB nikiwa na shida na jinsi yule dada alivyonijibu sijatamani tena kwenda. Since then niliwapiga chini. Wafanyakazi wengi wanakuwa na majibu ya ajabu utadhani babangu ndo kasababisha wakose posho!