KERO: Huduma mbovu kwa wateja

hizi kero zitakwisha tu.....EAC hio ishaingia.....halafu watu wajiulize kwanini waajiri wana-prefer KENYANS.........
 
Halafu benki zetu hazina sense of privacy hata kidogo. Ukipewa fomu ujaze unaweza kupewa ya mwenzio iliyojazwa info zake zote uangalizie kama sample. Crazy
 
Shoul we start giving tips (bakshish) Oh forget it watadhani ni hongo. Lakini mtu akinipa service nzuri huwa namueleza kuwa nimefurahia huduma yako. Huwa wanauliza kuwa wewe hukai hapa nadhani unakaa nje. Swali ni je na sisi tunachangia kwa kutoeleza tunapofurahishwa?

All in all sijui hizo shule za management na administration huwa wanafundisha nini. Niliwahi kuchukua kozi moja ya jinsi ya kuendesha shirika, kulikuwa na topic ya customer service. Haya watu wa kitivo cha Biashara na watu wa Mzumbe, IFM etc, hamuwatayarishi hawa vijana?
 
malalamiko yenu nimeyaona. nikiwa kama mteteaji wa kujitegemea wa haki za wanyonge, nitahakikisha wanaohusika wanafikishwa kunakohusika. Kaeni mkao wa kula. consider it done!


Hakuna siku niliyocheka kama leo.... kwanza Hilo jina lako na comments zako zimeendana kabisaaaaaaa..... Mteteaji wa wanyonge wa kijitegemea.... anyway thnkx pal... at least i manage to have a "laugh" to day... oooh thnx god...
 
Tena CRB Ya mbeya mjini-branch inaongoza tanzania nzima kwa kero!! Niliamua kufungua account nyingine kama mbili ili nicpate pressure mwenzenu!! Ila huduma za kibenk zero-foleni hadi 6hrs alafu useme utadevelop uchumi, how this can be possiible with such kind of behaviours in different sectors? Wenzetu benk zao utadhani hamana wateja lkn in short no body in europe or if they are there -they are very very very few who are payed by cash, Kutuma hela au kufanya transaction yoyote ile kuna kifaa cha kutumia internet kila mteja hivyo unaenda benk wakati wa kufungua account tu maana huduma nyingine zote unamalizia mwenyewe chumbani au ndani kwako.
 
Dem. Hizi habari ziko kote. Unanunua umeme kwa njia ya M-PESA Kisha hupati token kwa muda wa siku tatu. Ukiwapigia simu wanakwambia njoo voda shop. Ukiwaambia huko siwezi kufika may uko mbali na hizo ofisi wanakwambia hatuna jinsi ya kukusaidia. Especially wanawae ambao ni customer care wa vodacom ni mampompompo vibaya. wanadhani wao ni kila kitu. Nina hasira sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom