Kenya, Uganda, Rwanda Kufungua Mipaka

Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??

Kumbe na wewe sometime Sio wa kupuuzwa!!!
 
Tanzania a.k.a SLEEPING GIANT, Hii ni mbaya sana na inatishia uchumi wa nchi sababu hao jamaa wako kwenye mwendo kasi wa kunufaisha nchi na wananchi wao. Tutakaa hapa kupeana moyo this and that lakini in reality itakuwa imekula kwetu sababu ya lack of vision, lack of strategic leadership, na maneno mengi vitendo sifuri. Mimi na siasa mablimbali ila inanibidi niseme ukweli na kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa hiki kitendo kitakuwa na madhara makubwa sana hapo mbeleni kwa taifa letu. Lakini hatujachelewa kwa viongozi kujirudi nafsi zao na waliokoe taifa hili. Huko tunakoelekea ni kubaya ...............................................
rwanda kuingiza bidhaa kupitia bandari ya dar ni cheap kuliko wapitie mombasa,waje uganda ndo waingie rwanda lazima gharama zinakua kubwa kuliko wakitumia darport.Hiyo reli wanayopanga kujenga yaweza chukua hata miaka mitano au zaidi kukamilika.
 
Hakuna madhara yoyote kama unavyotaka kutisha watu hapa. Je, unaweza kufafanua madhara hayo kinagaubaga? Je, vipi faida unazijua au umekariri tu?

Ndugu yangu kama unashindwa kuyaona ninayoashiria basi sidhani kama nina zaidi ya kusema. Hawa jamaa hiyo hatua kwanza inawapa wananchi wao freedom of movement baina ya nchi hizo tatu, kumbuka kuwa Mombasa ni bandari muhimu kwa hizi nchi tatu ukiongezea Congo na Burundi. Imefikia kiwango bandari ya Mombasa inaanza kustruggle na traffic ya goods zinazokwenda kwenye hizo nchi tano. Pili kwenye hayo makubaliano yao kuna mkataba wa kibiashara kwa nchi hizo tatu. Hivyo kwa taarifa yako usahau kabisa mizigo ya hizo nchi kupitishwa bandari ya Tanzania. Unajua bandari ya Dar es salaam inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa? Changamsha akili nenda kafute data then utajua halafu kwenye hizo data fatilia mizigo ya Rwanda na Burundi how much wanechangia kwenye hilo pato. Halafu utajua nini nilikuwa nazungumzia kuhusu madhara ya kiuchumi. Kuna sababu nyingi sana sana za ziada, jiulize kama wakiikamilisha mipango yao ya reli ya Mombasa to Kigali.
 
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW

WE ARE NOT FOOLISH ENOUGH TO BUY WHAT THE THREE ICC CANDIDATES COOK UNDER CLOSED DOORS!
My advice to those three is:"FAST-TRACK YOUR CATTLE INTO SLAUGHTER HOUSES AND DISTRIBUTE LAND EQUALLY, THEN, MAYBE, ONCE YOUR LAND MANAGEMENT PROBLEMS ARE SOLVED, YOU WON'T NEED TRICK US INTO SURRENDERING THE GLOBAL HERITAGE CALLED TANZANIA!"
 
Tanzanians are very funny. Anyway I never saw the benefit of EAC untill one M7 gave the following analogy in mindspeak forum. He compared Kenya with China population, China has over a billion people and Kenya less than 40m then, he told us there's no way a Kenyan company can compete with a Chinese company - one has market size of 40m and another of over 1B. But with the EAC together...the companies have a larger mkt share - close to 160m. I saw the point.

He went on to say there's no diff btn the 3 countries that keep competing -KE,UG,TZ we're just 3 pygmies one is fat another is obese another fit, but the bottomline we're pygmies, competing on who's taller. Hii siasa ya divide and rule haitasaidia yeyote. Kama TZ haitaki kuwa kwenye jumuia please feel free to leave.
 
Hawana lolote la kututisha....

Sawa na Mwanamke anaeolewa kwa hasira baada ya kuachwa na Mumewe akijjua anamkomoa bwana wake wa zamani.
Hata mjibarague vipi ardhi hatuwachii ng'o.
 
Tanzania wako busy cracking down wageni kutoka hizo nchi jirani na kuwaita wageni haramu huku wao wako busy kufungua mipaka yao na kuongeza business,Uhuru is the winner here and genious kuchukua billions and billions of cargo money from Dar to Mombasa kirahisi namna hiyo,sitashangaa wakijenga reli haraka ili kufanya Mombasa route iwe cheap and permanent kwa Uganda and Rwanda na Reli ikishaingia huo ndio utakuwa mwisho wa kuona cargo ya hizo nchi,na Burundi and Eastern DRC zote zitahamia Mombasa route maana itakuwa karibu zaidi,Dar Port ni very important kwa uchumi wa Tanzania inakusanya more than 60 billions a month,something must be done here la sivyo itabaki what went wrong??

Aah! Wacha wajenge tu hio reli , wala hatuna haraka sisi, haraka haina baraka...watangulie tu sisi tutawakamata baadae kwa muda wetu, juzi mwaka 1990 tulikuwa bado tunanukia ujamaa hata tv ya taifa ilikuwa changamoto, lakini sasa mbona tunamewakamata.
 
Tanzanians are very funny. Anyway I never saw the benefit of EAC untill one M7 gave the following analogy in mindspeak forum. He compared Kenya with China population, China has over a billion people and Kenya less than 40m then, he told us there's no way a Kenyan company can compete with a Chinese company - one has market size of 40m and another of over 1B. But with the EAC together...the companies have a larger mkt share - close to 160m. I saw the point.

He went on to say there's no diff btn the 3 countries that keep competing -KE,UG,TZ we're just 3 pygmies one is fat another is obese another fit, but the bottomline we're pygmies, competing on who's taller. Hii siasa ya divide and rule haitasaidia yeyote. Kama TZ haitaki kuwa kwenye jumuia please feel free to leave.

But the selling and buying among 160 million ppl of east African countries has been going on for years, hapa tz tunatumia bidhaa za kenya kuliko za nchi nyingine yoyote, maendeleo tunayoyaona EA today yamechangiwa sana na hii biashara inayoendelea.
Ushirikiano tayari upo unaendelea na utaendelea
 
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Hatuna vitambulisho vya uraia, hata wakituingiza humo tutaishia kutumbua macho tu. Hapa Kwetu tupo ki michakato zaidi aka deals, saa ngapi tutakwenda pamoja na watu wenye uchu wa maendeleo kwa nchi zao
 
Makao makuu ya EA yalistahili kujengwa Nairobi au Kampala au Kigali. Ujenzi hapo Arusha i regret to say was a waste of scarse resourses.
 
nadhan kwa tanzania SADC is more important than EAC.... tudumishe ushirikiano na SADC zaidi kuliko hii EAC.
 
kwa maoni yangu tanzania imeshaingia mikataba yote yenye manufaa kutoka eac hii mingine ya federations,single currency na visa free movement hatutaki na haina tija kwa tz, na nchi kama kenya isijidanganye tz itabakia kuwa soko kubwa la bidhaa zao eac.kwa single currency ni vizuri tu join ya sadc kuliko ya eac.
 
..☆☆★★ Haituhusuuu.... wafungue hadi zip zao na waoleane na walalane huko haituhusuu....

.... tupa kuleee... hatubabaishwi na chochote...

Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
 
Makao makuu ya EA yalistahili kujengwa Nairobi au Kampala au Kigali. Ujenzi hapo Arusha i regret to say was a waste of scarse resourses.

that's KfW Germany money ... it shouldn't bother you[, yet tz can't be bribed by a hq structure in in arusha . people's interests are far more important ... got the discourse !
 
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Hawana hiyo jeuri
 
But the selling and buying among 160 million ppl of east African countries has been going on for years, hapa tz tunatumia bidhaa za kenya kuliko za nchi nyingine yoyote, maendeleo tunayoyaona EA today yamechangiwa sana na hii biashara inayoendelea.
Ushirikiano tayari upo unaendelea na utaendelea

The selling and buying has been going on but it hasnt reached its potential mainly because of imposed barriers. We in Kenya would want to see more of Tanzania's stuff...they're very few btn apart from what mama mboga sells. The biggest problem that Kenyans have in Tanzania is Kenyans are treated like 3rd class foreigners. Someone might have a contract to work for 3 years but u issue a work permit of 2weeks, then they have to keep renewing unfair because those Tanzanians who come to Kenya to study or work are treated like East Africans and dont even require a work permit. Thats why we feel you Tznians are not committed may be it feels nice being called SouthAfricans than East African
 
Back
Top Bottom