Wote wanatuhitaji hao wasilete za kuleta kama wanamchemsha Kikwete hiyo juu yao lakini Tanzania kwao wote ni muhimu Kenya ni kati ya nchi zilizowekeza sana Tanzania na wananchi wake kibao wanafanya kazi hapakama una akili utajua tu kuwa tanzania tushatengwa na umoja wa africa mashariki.
tujiunge tuwe state mojawapo ya united states hahahaha
Mbona hata Tz kwenda Kenya au Uganda hutumii visa,passport inapigwa muhuri mpakani kuonyesha umeingia lini na utakaa siku ngapi..Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Siku zote nilikuwa naziangalia politics za M7 kwa jicho la tahadhari. Nikaja kubaini kwamba wako very close na Uhuru, ambaye namchukulia kama mtu asiyetabirika.M7 na Kagame got long history. Ushirika huu wa watatu hawa wahitaji kuchukuliwa kwa tahadhari kubwa na serikali yetu, kwani watatu hawa wanamezea mate sana rasilimali zetu.Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
Nchi za Kenya, Uganda, na Rwanda zimekubaliana Jijini Nairobi kuwa raia wa nchi hizo tatu wakitembelea nchi hizo tatu watumie vitambulisho vya uraia wa nchi zao badala ya visa .......Je, Tanzania tumewekwa kando, au hilo ni gap?......kwa hisani ya DW
A nation is in fact an
individual. The best rule of thumb in any individual life is to be
yourself; to follow your soul; to follow your heart and mind; never to
follow the crowd where the heart and mind refuses. We have chosen our
path, they have chosen theirs. So be it! They are entitled to the
dictates of their hearts and minds. Let's keep our borders as much
tight as we can! Long live Tanzania.