majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
ukweli unauma sana
unafikiri mauaji ya binadamu yanafurahisha kwa mtu mwenye akili timamu? Jenerali karegaya
ukweli unauma sana
wewe kumbe rwanda hauijue vizuri wewe! Ni sawa na bomu linalosubiri kulipuka, wanayo mioyoni mwao , hujui kuna wahutu wanaopasha kujiandaa kupinga utawala wa kidhalimu wa kagame?
si urudi kwenu rwanda?
unafikiri mauaji ya binadamu yanafurahisha kwa mtu mwenye akili timamu? Jenerali karegaya
wahutu ni wachache sana rwanda labda burundi ndo wako wengi wakiungana hapo sawa..
ni kweli tatizo ni tanzania. wanasuasua sana.Tatizo tanzania wmekuwa hawaeleweki so wakiwa tayari watunga tela
hilo halina uhakika aliyehusika.. Hisia tu ndo zinaongoza watu
Propaganda zako zitakuponza. Hivi wewe una akili rimamu kweli? Yaelekea hata nchi yako Rwanda huijui vizuri. Kwa taarifa yako wahutu wapo wengi rwanda kuliko watutsiwahutu ni wachache sana rwanda labda burundi ndo wako wengi wakiungana hapo sawa..
hilo halina uhakika aliyehusika.. Hisia tu ndo zinaongoza watu
watawasaidia wanyarwanda.Nini utakuwa msimamo wa Kenya na Uganda endapo (Mungu apishilie mbali) vita itazuka baina ya Tanzania na Rwanda?!
si urudi kwenu rwanda?
Posts zako zinaonesha kuwa wewe ni mnyarwanda tena mtutsini maoni tu na siyo kwamba mimi ni mnyrwanda
alikuwa na adui mmoja tu naye ni kagame
Hawa marais watatu wana mikakati mikubwa kwa wananchi wao... Saafi saana
propaganda zako zitakuponza. Hivi wewe una akili rimamu kweli? Yaelekea hata nchi yako rwanda huijui vizuri. Kwa taarifa yako wahutu wapo wengi rwanda kuliko watutsi
Baada ya Kenya, Uganda na Rwanda kukubaliana kuondoa matumizi ya passport sasa wamekubaliana kuanzisha himaya ya pamoja ya ulinzi na kuzitenga Tanzania na Burundi!
Mashaka yanakuja kutokana na nchi hizi tatu zilizopo katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki kuendelea kuzitenga nchi wanachama wenzao!
Nini msimamo wa Tanzania kutokana na mkataba huu mpya wa ulinzi?!
Source: Dutch Welle
amahoro,tanzania kwa umoja wake haitishwi na muungano wa kiimla kati ya hao watatu,na yeyote ama wote watatu kwa umoja wao wanaijua vema tanzania,si kwa sababu tulimchapa idd amin dada, hapana,ni military capability ya tanzania kwa sasa na uchumi wetu utakavyokua tishio kwa miaka michache ijayo(kama miaka mitatu hadi mitano hivi)
unaichanganya na burundi mkuu
kushinda vita ni mbinu pamoja na uwezo.. Idd amin wananchi walikuwa wameshamchoka tofauti na kagame alivo sasa