Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,421
- 20,894
Baada ya Kenya, Uganda na Rwanda kukubaliana kuondoa matumizi ya passport sasa wamekubaliana kuanzisha himaya ya pamoja ya ulinzi na kuzitenga Tanzania na Burundi!
Mashaka yanakuja kutokana na nchi hizi tatu zilizopo katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki kuendelea kuzitenga nchi wanachama wenzao!
Nini msimamo wa Tanzania kutokana na mkataba huu mpya wa ulinzi?!
Source: Dutch Welle