Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

wajaribu waone moto wa nchi za sadc
utakavyowawakia!

kwa hiyo tz iko mguu nje ndani ya eac... Nadhani hata hao marais walishaistukia ndo maana wanafanya mambo yao kimya kimya
 
Nadhani kagame anafaa kuwa prezida wa tz... Angekuwa raia lakini
 
waache waungane sasa hivi alshaabab wanatuletea watalii wengi sana uganda na rwanda ni nchi ambazo zinaamini vita na kenya imejiunga nayo sisi tutaendelea kulinda amani
 
Voice of America pia wameelezea hili. Waziri wa ulinzi wa rwanda kaulizwa kwa nini tanzania na burundi hamjazishirikisha,kajikanyagakanyaga tu!Nadhani Bongon tuwe nao macho hawa!
 
Hawa jamaa kutakua kuna kichwa kimoja kinawapelekesha, wacha tusikilizie tu na kuona hii speed yao wataenda mbali kiasi gani.
 
Kenya wamezidi kujirudisha nyuma kwa kujiunga na majambazi, sisi ni neema kwetu na Burundi, tutapaa zaidi.
 
kenya will regret siding with war mongers..unalinda nyumba na wezi unategemea nini
 
anapendwa huyoo huko rwanda... Cjapata ona

Ni kweli, kwani raia wa rwanda hana chaguo lingine zaidi ya kuonesha kuwa wanampenda hata kama hawampendi, kwani anatawala nchi kwa mkono wa chuma. Kama walioko nje wanafuatwa kuuawa sembuse raia iliyeko ndani? si nchezo aise!! Jeshi la taifa limeshikiliwa na minority (14% population), wewe unafikiria majority watafurukuta kuonesha msimamo wao?
 
Baada ya Kenya, Uganda na Rwanda kukubaliana kuondoa matumizi ya passport sasa wamekubaliana kuanzisha himaya ya pamoja ya ulinzi na kuzitenga Tanzania na Burundi!

Mashaka yanakuja kutokana na nchi hizi tatu zilizopo katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki kuendelea kuzitenga nchi wanachama wenzao!

Nini msimamo wa Tanzania kutokana na mkataba huu mpya wa ulinzi?!

Source: Dutch Welle

Tanzania ijitoe tu. Tusiungane na majambazi.
 
Kwa nini wewe usiende Rwanda? its very simple you become citizen of Rwanda by registration! wenzio hatumpendi dictator
 
Tanzania inabidi ijipange kiusalama,tupate kiongozi wa maana.Majirani wanabadilika kuwa mashetani kila kukicha ili kuiadabisha TZ.
 
Sie bado tunajifikiria kuunda tume ya uchunguzi
 
Ni kweli, kwani raia wa rwanda hana chaguo lingine zaidi ya kuonesha kuwa wanampenda hata kama hawampendi, kwani anatawala nchi kwa mkono wa chuma. Kama walioko nje wanafuatwa kuuawa sembuse raia iliyeko ndani? si nchezo aise!! Jeshi la taifa limeshikiliwa na minority (14% population), wewe unafikiria majority watafurukuta kuonesha msimamo wao?

Ulichokisema na mimi nilitaka kumwambia hivyo hivyo huyu jamaa, Kagame hataki upinzani ndio maana Media za Rwanda zimebaki kumsifia tuu. Kaenda Uingereza katupiwa mawe.
 
Tatizo tanzania wmekuwa hawaeleweki so wakiwa tayari watunga tela

wanamgambo wanne tu wa alshabab walilisumbua jeshi dhaifu la kenya kwa muda wa zaidi ya siku nne, waasi wa LRA bado ni tishio kubwa kwa utawala wa museveni sasa ni zaaid ya miaka 20, rwanda hali ni tete kiusalama, haijulikana kesho itakuwaje kutoka kwa wahutu wanaonyanyaswa na kuteswa na serikali ya kitusi ya kagame . Wote watu (maraisi) ni wanted wa ICC watarajiwa . TANZANIA HATUWAHITAJI
 
Back
Top Bottom