majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
na wale wanaoteka watu na kuwanyoa kucha watfanywaje mkuu
kwa hiyo watu wakitekwa na kungolewa kucha Tanzania ni kibali cha kagame kuua wahutu na kuhujumu nchi jirani?
na wale wanaoteka watu na kuwanyoa kucha watfanywaje mkuu
very slow
mdo maana tunahangaika pamoja na mali tulizonazo.. Angezaliwa bomgo tungefaidi sana
kwa kutumia hiyo bandari uliyonayo naweza kuwapa wananchi wangu wa tz huduma zote za kijamii ukiachana na mali zingine ulizonazo; by comred kagame:couch2:
hata kama wanazaliana sana
Nini utakuwa msimamo wa Kenya na Uganda endapo (Mungu apishilie mbali) vita itazuka baina ya Tanzania na Rwanda?!
Waendelee tu kujitenga sisi nchi yetu tunasonga mbele atuwaitaji wezi wa madini
Mh Rock CityTanzania tupo imara, acha waendelee maana wamejawa na maadui lukuki.
Kenya wanasumbuliwa na Al-shabaab na mungiki hawajafutika.
Uganda wanasumbuliwa na Joseph Kony na tuhuma nyingi wakinyooshewa vidole na Magharibi kwa kuingilia DRC.
Rwanda haipo sawa kiusalama kabisa, involvement yao DRC na assassinations zinazoendelea za wapinzani wa PK ni ishara tosha, bado ukabila unalitafuna taifa hilo.
Soma vizuri hapa: 1:The Grand Inga is the worlds largest proposed hydropower scheme. It is the centerpiece of a grand vision to develop a continent-wide power system. The Grand Inga mega-project is a priority project for a number of Africa development organizations, including the New Partnership for Africas Development (NEPAD), the Southern Africa Development Community (SADC), East African Power Pool (EAPP) and ESKOM, Africas largest power utility, among others.
anapendwa huyoo huko rwanda... Cjapata ona
Ningependa saana kagame awe rais wa tanzania... Napenda sana utendaji wake wa kazi
Ningependa saana kagame awe rais wa tanzania... Napenda sana utendaji wake wa kazi
Hawa Kenya bidhaa zao zinanipa kichefuchefu raisi tafadhali fanya kila unaloweza hawa mambwiga watozwe ushuru mkubwa mpaka wakate tamaa ya kufanya biashara bongo land wakafanye na mabwana zao madhaifu Rwanda na Uganda.
Baada ya Kenya, Uganda na Rwanda kukubaliana kuondoa matumizi ya passport sasa wamekubaliana kuanzisha himaya ya pamoja ya ulinzi na kuzitenga Tanzania na Burundi!
Mashaka yanakuja kutokana na nchi hizi tatu zilizopo katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki kuendelea kuzitenga nchi wanachama wenzao!
Nini msimamo wa Tanzania kutokana na mkataba huu mpya wa ulinzi?!
Source: Dutch Welle
Amahoro,Tanzania kwa umoja wake haitishwi na muungano wa kiimla kati ya hao watatu,na yeyote ama wote watatu kwa umoja wao wanaijua vema Tanzania,si kwa sababu tulimchapa Idd Amin Dada, hapana,ni military capability ya Tanzania kwa sasa na uchumi wetu utakavyokua tishio kwa miaka michache ijayo(kama miaka mitatu hadi mitano hivi)