Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

Baada ya Kenya, Uganda na Rwanda kukubaliana kuondoa matumizi ya passport sasa wamekubaliana kuanzisha himaya ya pamoja ya ulinzi na kuzitenga Tanzania na Burundi!

Mashaka yanakuja kutokana na nchi hizi tatu zilizopo katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki kuendelea kuzitenga nchi wanachama wenzao!

Nini msimamo wa Tanzania kutokana na mkataba huu mpya wa ulinzi?!

Source: Dutch Welle

Shh! Usitutoe kwenye mjadala mkuu wa kitaifa unaoendelea. Si huo unaodhani wa katiba mpya, wala ule wa madawa ya kulevya, na sio huo wa nyala za nchi hasa tembo bali MJADALA KUHUSU ZITTO VS CHADEMA. Waache hao wakenya, waganda na wanyarwanda waendelee na usingizi na ndoto zao. Sisi tunajitambua bwana!
 
Namuona Mrwanda -MAHORO anavyoshabikia nchi zao.Sisi watanzania tuko makini na tunaendeleza uhusiano na SADC tu kwani ndio marafiki wa kweli.
 
ningependa saana kagame awe rais wa tanzania... Napenda sana utendaji wake wa kazi

hii nayo ni moja kati ya ndoto tata...naomba urudi ukalale ili ndoto yako itimie coz wanasema kama ndoto haijatimia rudi ukalale......utalala milele.
 
Shh! Usitutoe kwenye mjadala mkuu wa kitaifa unaoendelea. Si huo unaodhani wa katiba mpya, wala ule wa madawa ya kulevya, na sio huo wa nyala za nchi hasa tembo bali MJADALA KUHUSU ZITTO VS CHADEMA. Waache hao wakenya, waganda na wanyarwanda waendelee na usingizi na ndoto zao. Sisi tunajitambua bwana!
Wee vipi?! huu ndiyo mjadala wa kitaifa! Tujadili mustakabali na usalama wa taifa letu!

Mjadaka wa Zitto Vs CHADEMA ni wa wanachama wa CHADEMA, hivyo waachie wenyewe! Pilipili usizokula zinakuaje?!
 
ukinikabidhi bandari tu.. Achana na mali zote ulizonazo, wananchi wangu watapata huduma zote za kijamii bure; by kagame:a s wink:

alikuwa sahihi kwakuwa alikuwa anaongelea "wananchi wake milioni 4" hata sie hapa dsm tupo 6 million tukiachiwa bandari tutakuwa kama burnei..full bata no kufanya kazi..na usisahau lami mpaka uvunguni by jeikei.
 
Biashara kati ya Tanzania na Kenya ni kubwa kuliko biashara kati ya Uganda na Rwanda kwa pamoja.Ningekalia kiti cha magogoni kitu cha kwanza ni kuzitwanga bidhaa za Kenya ushuru mkubwa utakaosababisha bidhaa zao kukosa soko Tanzania.Hatua hii itamweka katika mbinyo wa kisiasa Kenyatta na serkali yake ya kikabila.
Hapa babu sio ushuru suluhisho ni kwaita Akina MENGI, BAKHRESA, MOHAMED INTERPRISE na Magwiji wengine wanaozalisha bidha za chakula ambazo nyingi kutoka kenya na kuwapa muda wa kuanza kutengeneza bidhaa hizo baadaye tunakataza kuingiza bidhaa hizo kutoka kenya hapo ndio heshima itakuja
 
Jambo la msingi wangejenga ukuta kuzunguka nchi zao.KItendo cha tz kusaini mkataba huo inamaana inawajika kuawatafuta maadui wa uganda kenya na rwanda kitu ambacho si malengo ya tz.Msimamo wa tz ni kukaa na kuongea na maadui zao .
 
Uhuru anajua kabisa muda si mrefu wenzake serikalini watamkimbia
 
Saafi sana rwanda, kenya na uganda... Sisi tanzania bado tunatafakari kwanza tuko nyuma yenu tunajikokoja

Mahoro,
Unadhani ni vizuri kwa Tanzania kuja kujiunga na programu zilizojadiliwa na nchi nyingine sie tuje kwenye utekelezaji??? Ebu tuwaache waendelee kwani sisi SADC si ipo
 
Kagame kamwe hataweza kuwa Salama ndio maana anakimbilia kuleta umoja na nchi zinazomzunguka ili kiama kisimfike...muda ukifika...Tanzania tunajua ukweli ndio maana hatukurupuki kuna Watusi humu ndani wanajifanya watanzania eti sisi hadi tuburuzwe..
 
Hata Amini alikuwa 'anapendwa' Uganda....

Utaacha kumpenda dictator nduli hujitaki?????

Afu nashangaa watu wanasifia Rwanda this, Rwanda that...oooh Rwanda wasafi...ka nchi kenyewe kadogo kama mkoa wa Kilimanjaro...hata Kilimanjaro inasifiwa kwa usafi....hivyo basi na JK angekuwa anaongoza ka nchi kama mkoa wala asingeshindwa....tena ange perform wonders.....

waeleze hao m,,,e..n..d,,,e
 
Ningependa saana kagame awe rais wa tanzania... Napenda sana utendaji wake wa kazi

N huu upuuzi wetu wa kufanya kazi kwa kutaka atakata shingo. Usafi wa jiji umeshindikana mpaka sasa hivi unafikiri ana uvumilivu wa kijinga kama huyu shoga wa huku.
 
Kagame kamwe hataweza kuwa Salama ndio maana anakimbilia kuleta umoja na nchi zinazomzunguka ili kiama kisimfike...muda ukifika...Tanzania tunajua ukweli ndio maana hatukurupuki kuna Watusi humu ndani wanajifanya watanzania eti sisi hadi tuburuzwe..

Naamini vyombo vyetu vya Usalama vinaelewa vizuri hii mienendo ya hawa wenzetu na agenda zao za siri. ..eg kuanzisha bahima empire
 
Kagame atakuwa Aidha Kafa au Ana recover in a secret location...kwa uchunguzi wa haraka hajaonekana HADHARANI kwa masaa 24 toka uvumi huu uanze...Zaidi ya wasaidizi wake kusema yupo Ikulu anakutana na wanafunzi Fulani..wa kimarekani....
Hakuna Rais anayeweza kukutana...na wanafunzi kwa Siku nzima Wakati amezushiwa kifo
Inawezekana lolote ...tusubiri.
Lakini whatever the case ..mwaka hauishi..kazi watammaliza.

Pia ukiangalia ..mitandao yote Rasmi ya Rwanda hakuna picha latest imetoka kuwapoza wanaanchi Zaidi ya picha Za Tukio la Kuaga maabalozi tarehe 8/1
 
Back
Top Bottom