Sawa bwana. kwa hilo sina la kusema. Leo nawaachia mtambe tu.Watanzania huwa mnasema kwamba mnakula vizuri hadi mnashiba na kwamba Wakenya tunashinda njaa ila likija kwenye suala la spoti hususan riadha huwa mnaambulia patupu na sisi tunashinda medali karibu zote hapa Afrika.
Kwahivyo kwa kifupi Tanzania hawatakua tofauti kwa Olimpiki (in terms of participants) ya Paris (2024) and Los Angeles (2028)? Manake kama wanataka kukuza talanta ya wanariadha wa Olimpiki mbili zijazo hua ni uanze kwa kushiriki michezo ya ma junior kwa wingi manake hao ndo watakuja wamefika umri sawa inapofika 2024 ama 2028... Kama Haina team ya junior inayotambulika sahii usitarajie kupata medali yoyote kwa Olympics zijazo, it's that simple! Mtu kama Eluid kipchoge alishinda medali yake ya Kwanza akiwa miaka 18 kwenye youth championships...Lazyland republic hamjatuma wanariadha huku kama kawaida yenu malazy.
Mziki ni mambo za Zamu, hata sisi kuna wakati mziki wa Kenya ndo ulikua unatambulika zaidi eneo hili, kabla hapo ilikua ni mziki wa congo, na kabla hapo ilikua ni blues na RnB za kutoka marekani... Na hata hio bongo flavor, kabla itambulike ilikua ni Naija na ngoma za SA ndo zilikua zinavuma... Sahii ndo msimu wenu wa bongo flavor lakini haitakua hivyo milele.... Usishangae miaka 5 kutoka sasa ukapata ni zamu ya Uganda kutamba kimziki kabla irudi kwa Kenya..Wewe usimuamshe alie lala ,tukija kuamkaa mutakimbia refer mziki wa Tz uko juu zaidi yenu mpk munatuiga .Sasa tunajipanga kuja huko kwenye michezo mutakomaaa.
Mwishowe watakuja wenyewe tu, The under 18 championships were more successful than any other World U18 Championships in its history! the IAAF president said so himself and to top it off, most of the athletes themselves said they had the time of their lives at the event and that they were satisfied.... And this year during Covid we hosted a successful WRC bila any incident..... Tuendelee kuwashikisha haya polepole mwishowe watatuheshimu tu. They say respect must be earned, we will not beg for it nor will we demand it! tutafanya yetu mpaka mwishowe watatuheshimu..Shida ni hizi nchi za magharibi. Some of these western countries are completely racist and I hate them because of this. Both during the under 18 world championships and this under 20 world championships, alot of western countries refused to send their athletes to Kenya. In 2017 under 18 championships, they refused to come citing terrorism as an excuse. This time they are citing corona as the excuse. Even if we get the rights to host world athletics championships in 2025. These racist countries will not attend. They will find an excuse not to attend. Just a few western countries have attended i.e Canada, France, Sweden, Portugal and a few others. Big countries that have not attended include UK, US, Australia. Even China did not attend this time. I hope we win the hosting rights for 2025 WAC. Whether these assh*les want to attend or not, it is their own problem.