Kenya kuna wimbi kubwa la utekaji watoto...

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,750
Reaction score
37,397
kuna kipindi nafatalia youtube kupitia Easterntv na bado kinaendelea nimeogopa sana tena swala la watoto.

Najua wengi wa watanzania mtoto akijua kutembea unamuacha kama kuku ili mradi tu jioni umuone yupo nyumbani.

Huku kenya sivyo ndivyo yani utekaji ni mkubwa na biashara hii kama itaingia tanzania na kama hipo basi ijashitukiwa ni hatari sana.
Na wa nunuzi wengi born marrow inadaiwa soko lipo congo kwenda nchi nyengine.
 
Yatupasa kuchukua tahadhari kwani kenya ni jirani na Tanzania. Shida ya hapa kwetu hawa nyumbu wa Chadema hata kama kuna matukio ya kihalifu kama haya utasikia eti " wametekwa na polisi".....chadema watu wa ovyo sana bora wamejiondoa kwenye uchaguzi.
 
shika makalio yako kama umekosa makende.We tunaeleza unakalia ujinga hivi unajua polisiCCM wa tanzania mtindo wanaotumia kuteka kuna siku watu watatumia mule mule hii tabia
 
Yatupasa kuchukua tahadhari kwani kenya ni jirani na Tanzania. Shida ya hapa kwetu hawa nyumbu wa Chadema hata kama kuna matukio ya kihalifu kama haya utasikia eti " wametekwa na polisi".....chadema watu wa ovyo sana bora wamejiondoa kwenye uchaguzi.

Acha uchawa, tumia busara hata dakika mbili nawe uonekane nawe mtu
 
Wanaenda kufanyia nn hizo mambo!?
Kama inafanyika Kenya haishindwi kufanyika Tanzania
 
Pia niliona jamaa wamemkata anawapeleka alipokua anawatupa baada ya kuwaua
 
Kuna rafiki yangu alinieleza hili jambo na inavyoonekana wanateka hadi watu wazima.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
kuna kipindi nafatalia youtube kupitia Easterntv na bado kinaendelea nimeogopa sana tena swala la watoto.

Najua wengi wa watanzania mtoto akijua kutembea unamuacha kama kuku ili mradi tu jioni umuone yupo nyumbani.

Huku kenya sivyo ndivyo yani utekaji ni mkubwa na biashara hii kama itaingia tanzania na kama hipo basi ijashitukiwa ni hatari sana.
Na wa nunuzi wengi born marrow inadaiwa soko lipo congo kwenda nchi nyengine.
Jirani zetu wanabiashara hatari sijawahi kuona. Kibaya zaidi ni vijana wadogo wa kike na wakiume wamejiingiza kwenye hii biashara. Serikali Yao ipo kimya kama iko likizo. Wanadamu tumegeuka kuwa zaidi ya simba au mamba. Inatisha inasikitisha inaumiza. Huruma sana kwa watoto dah

Dunia imefika mwisho.
 
Back
Top Bottom