utekaji watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Mtoto atekwa na watu waliokuwa kwenye bodoboda maeneo ya Goba, Dar asubuhi akielekea shule

    UPDATES: Mtoto alipatikana jana Julai 26 akiwa anasafirishwa kwenda Tanga. Mtoto huyu ametekwa nyara leo asubuhi maeneo ya Goba kwa Awadh. Anaitwa Patrick Pascal Luzwilo, mwanafunzi wa shule ya Vein Academy iliyopo Goba. Leo asubuhi alikuwa getini na dada wa kazi akisubiri gari la shule...
  2. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuna wimbi kubwa la utekaji watoto...

    kuna kipindi nafatalia youtube kupitia Easterntv na bado kinaendelea nimeogopa sana tena swala la watoto. Najua wengi wa watanzania mtoto akijua kutembea unamuacha kama kuku ili mradi tu jioni umuone yupo nyumbani. Huku kenya sivyo ndivyo yani utekaji ni mkubwa na biashara hii kama itaingia...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mbulu: Wanusurika kuuawa na gari lao kuteketezwa baada ya kudhaniwa ni watekaji wa watoto

    Watu wanne wamenusurika kifo baada ya kupigwa na kukatwa mapanga pamoja na gari waliyokuwa wakiitumia aina ya Raum kuchomwa moto katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa kuiba Watoto baada ya kumpa pipi Mtoto aliyekuwa akipita pembeni ya gari yao waliyokuwa wanaitumia...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tamko la Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu madai ya kusambaa kwa matukio ya utekaji wa Watoto, asema Nchi ipo salama

    https://www.youtube.com/watch?v=3S9QuDpJOx0 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni amesema taarifa za kuwa kuna matukio ya utekaji hasa kwa Watoto Nchini ni sehemu ya kuzua taharuki ambayo yamekuwa yakifanywa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi na kuwa Jeshi la Polisi...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Kijiji cha Kwa Zoka na wengine watatu mbaroni kwa kusambaza taarifa za uongo za watoto kutekwa

    Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu gari aina ya Toyota Noah inayotumika kuwateka watoto katika maeneo mbalimbali. Kuhusu utekaji huo soma > Utekaji wa watoto: Gari yadaiwa kukamatwa ikiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kanda ya Ziwa ni kinara kwa utekaji watoto?

    Ripoti ya takwimu za uhalifu na usalama barabarani ya mwaka 2023 kutoka jeshi la polisi Tanzania kupitia ofisi ya takwimu {NBS}, inasema kuwa mikoa takriban 40 ya kipolisi nchini imesajili jumla ya matukio 73 ya utekaji watoto wadogo, hata hivyo kati ya idadi ya mikoa hiyo mikoa 7 ya kanda ya...
  7. Technologiest

    JamiiForums Tanzania Matukio ya watoto kutekwa yasifumbiwe macho

    Salaam! Ndugu zangu wanajeiefu poleni na majukumu mbalimbali ya kiuzalishaji Mali. Kuna matukio yanaendelea kwa kasi sana yanayoonesha utekaji wa watoto tena yakifanywa na watoto wadogo mno ambao wanatumwa na hao watu wenye nia ovu dhidi ya watoto. Shime ndugu zangu,shime vyombo vya habari...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kahama: Binti wa miaka 16 mbaroni kwa wizi wa mtoto wa miezi 9

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia binti mwenye umri wa miaka 16, aliyefahamika kwa jina la Maduki Sabuni mkazi wa Imalanguzo Ushirombo mkoani Geita kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa miezi 9 mkazi wa Manzese Manispaa ya Kahama. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP. Janeth Magomi amesema...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Huu mtandao wa utekaji watoto unaratibiwa na nani na kwa faida gani?

    Utekaji na kupotea kwa watoto kunakotokea kwa sasa kuna viashiria vya mikakati ya kundi la watu wenye nia ya kuondoa utawala fulani madarakani. Hali kama hii mara nyingi umalizika kwa kuondolewa waziri au IGP ofisini. Si kwa sababu siyo wachapa kazi bali ni kurejesha imani ya dola kama...
Back
Top Bottom