Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,524
Sio Kenya tu hata Tanzania ni jambo rahisi kukanusha mpaka waziri leo wa fedha kusema yale magunia yaliyo wekwa watu yenye chapa ya tanzania kuwa yalitupwa baharini.
Hivi unawezaje kujibu majibu rahisi kama hayo.
Sasa Kenya baada ya kuona mada imekuwa ngumu polisi anaomba msamahaa yani kesi ifanyike busara kuwa imekishwa.
Albert Ojwang swala la kuibua madai kama IGp mfano Tanzania ndio ndio kilichopotokea kuuliwa kwake.
Polisi wana wakati mgumu duniani.