Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuongeza Mishahara kuelekea Uchaguzi Mkuu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
AFRIKA KUSINI: Waziri wa Fedha, Enoch Godongwana ametangaza ongezeko la malipo ya Mishahara kwa zaidi ya Wafanyakazi Milioni 18 kupitia Bajeti ya mwisho kabla ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mei 29, 2024.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni baada ya Chama Kikuu cha Upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) kutangaza kuwa endapo kitafanikiwa kushinda katika Uchaguzi huo, kitaongeza kiwango cha Mishahara mara mbili ya kinacholipwa.

Kwa mujibu Ripoti ya Uchaguzi wa mwaka 2019, Chama Tawala cha ANC kilishinda kwa 57% ya Kura. Hata hivyo, Kura za maoni za hivi karibuni zinaonesha kinaweza kupata chini ya 50% ya Kura katika Uchaguzi wa mwaka huu.

=============

South Africa's finance minister has boosted welfare payments to more than 18 million people in his last budget ahead of May's general election.

The governing African National Congress (ANC) is facing a tough political challenge as it battles to maintain its outright majority in the 29 May poll.

Left-wing rival the Economic Freedom Fighters (EFF) has already pledged to double payments to the less well off.

But harsh economic conditions leave the government little room for manoeuvre.

Finance Minister Enoch Godongwana was under pressure to curtail the government's growing budget deficit while also maintaining spending, and keeping taxes low, in order to not put voters off.

The ANC won the 2019 election with 57% of the national vote. Opinion polls suggest that for the first time since it took power at the end of apartheid in 1994, the party's share of the vote could fall below 50% in the upcoming election.

To cheers from ANC MPs, Mr Godongwana said monthly payments to the elderly, war veterans and those with disabilities, among others, would go up by 100 rand ($5.32; £4.22) a month - an increase in line with inflation of nearly 5%.

The minister also announced a rise in grants to others, including those with children.

There had been speculation, in line with what President Cyril Ramaphosa had said earlier this month, that the government would increase monthly payments to low earners and those most in need.

This Social Relief of Distress Grant (SRD grant) of 350 rand is currently paid to nine million people.

Among the key beneficiaries are those without jobs, in a country where just under a third of the potential workforce is unable to find work and joblessness among the youth stands at 4.7 million.

Mr Godongwana said efforts were under way to "improve" their SRD grant. He failed to disclose by how much, saying more revenue first needed to be found.

The EFF, which is eating into the ANC's support, has promised in its election manifesto to double all permanent social grants.

It has also promised a brand-new payment to all unemployed high school and university graduates.

One of the EFF's MPs, popular musician Ringo Madlingozi, suggested that the minister was avoiding responsibility with his speech and urged the party's supporters to vote the ANC out.

Meanwhile, the main opposition Democratic Alliance (DA) has said it would boost payments, particularly for those with children.

It also wants to convert the SRD grant into a job seekers' payment. It has criticised the budget for doing nothing for vulnerable South Africans.

While Mr Godongwana is looking to boost government revenue, he did not raise income tax levels, though more people will be paying tax as their wages go up.

Neither did he increase the general fuel levy for car drivers but a rise in the carbon tax will boost petrol prices.

The finance minister also increased taxes on cigarettes, e-cigarettes, cigars and alcohol.

Overall, South Africa is faced with a slow-growing economy. Mr Godongwana admitted that the "size of the pie is not growing fast enough to meet our developmental needs".

It is not producing enough jobs for the 7.9 million unemployed. People are also faced with an increase in the cost of living and constant power cuts, affecting homes and businesses.

The ANC will now have to convince enough voters that it can still be relied on to manage the economy to the benefit of South Africans.

While opposition parties labelled the budget an election campaign speech for the ANC, Mr Godongwana denied this.

He told local TV station eNCA that his budget was about addressing the country's balance sheet, and would have no bearing on the elections.

BBC
 
Vibrant opposition with attractive plans and very convincing promises.

Sio mapinzani mapoyoyo ya humu nchini ni kulalamika tu kutwa with no altenatives plans.
 
Vibrant opposition with attractive plans and very convincing promises.

Sio mapinzani mapoyoyo ya humu nchini ni kulalamika tu kutwa with no altenatives plans.
Mazingira EFF sio Mazingira ya Chadema....Aliyopitia Molema hayafiki hata nusu ya Aliyopitia Lissu. Ulishawahi kuona/kusikia mijadala kwenye bunge la Africa Kusini? Sio kama upumbavu unaendelea kwenye bunge letu.
 
wao huwa na kiwango cha juu sana cha uungwana, halafu ni hoja kwa hoja sio kama lugha mnazotumia mathalan wewe na chadema kwa ujumla ambazo hazisaidii chochote zaidi ya kujionyesha udogo wa fikra na uhafifu wa hoja....
 
kakuelewesha ila bado kichwan mtupu , hhv kati ya chadema mwenye lugha mbovu na ccmu wanakudhalilisha na kufanya ufe maskin na kuiharibu hadi future ya vizazi vijavyo , nan wa kutumia nguvu kumlalamikia ? kichwan unaoneka bogus , nlitegemea nione unasema hongera kwa serikali ya SA kwa kuona makosa yao na kurekebisha na kwann ccmu hawaigi mf , ila badala yake unawaandama chadema hawana hili wala lile , ulitaka wawapongeze ccmu kwa kuharibu mikutano ya chadema ? ulitaka wawapongeze ccmu kwa kuua uhuru wa kujieleza ? ulitaka wawapongeze ccmu kwa kuwafunga na kuwaua wakosoaji wa serikali ? ulitaka wawapongeze ccmu kwa kuchochea mfumuko wa bei kwa maslai ya watu wao wachache waliowapa dhaman ya uzalishaji na uingizaj sukari nchini ?ulitaka wawapongeze ccmu kwa kuchochea mgao wa umeme ili wauze majenereta yao ? ulitaka wawapongeze ccmu kwa kuchakachua elimu ya msingi hadi secondari ili wafaulishe wengi halaf wanapohitimu vyuo hawawaajili wanawaambia wajiari ? ulitaka wawapongeze ccmu kwa upigaji wa ela za umma kuanzia kwenye uongoz wa juu hadi chini trafiki wanakusanya buku 2 kwa kila gari bila kulikagua au uuzaji wa viwanja vya watu unaosimamiwa na viongoz wa kata kwa kugawa mihuri ya serikali kwa ngazi ya kata , ulitaka wawapongeze ccmu kwa kusaini mikataba bila kuisoma au kuipeleka bungeni ? MKUU JIONEE AIBU HIYO ATHARI IMEKUKOLEA NI HATAR KWA VIZAZ VYA KESHO , CCMU SIO DINI
 
bado ni yale yale tu, uungwana zero....

unadhani na kufikiri kuwa na mihemko, ghadhabu kuporomosha lugha zisizo na staha ndio uhodari zaidi ni bure tu hamna kitu ni makelele tu....

wale jamaa kule SA hata amekamatwa na askari wa bunge atolewe njee, anashouti hoja anayo isimamia sio kumuita mtu kama ambavyo unabwabawaja hapo juu, haina maana yoyote na wala haisaidii...

lakini pia,
unalalamika ccm haijafanya hiki na kile mahali fulani, inaweza kua ni kweli, lakini, Je wewe utafanyaje katika kufanya vizuri hapo unapoilalamikia ccm haikufanya vema? Lay down your planns, kelele tu ni useless kwanaza nani atakuskiza :D

hayupo wa kukuonea huruma kwenye ulimwengu wa demokrasia. Pambanua mipango na uelekeo wa chama au taasisi yako kuwaletea mabadiliko wananchi, ukosibiri huruma utapata tabu sana na mihemko yako
 
kwan mkuu wew una ccmu yako nini ? sio hii tunaizungumzia humu ? juz tu watu walihoji muda wa mkataba wa bandari , je hukuona walichokuwa wanajibu ccmu ? WANASEMA UPINZAN WANAPINGA UWEKEZAJI ,hv ni kwel kauli ya Mbowe na Dr Slaa kwa mara ya kwanza walikataa uwekezaj au waliishaur serikali warekebishe ? na sio Hao tu hadi Prof Shev , Maskofu , Tibaijuka etc ila ccmu yako ikawatafuta masheikh wa drs la 7 na kuwaambia waje wawatukane hao watu hapo juu , hiyo ndo CCMU ya kuipa PLANS ? WATZ WAJINGA KAMA WEWE HAMUANGALII UPANDE MWINGINE MNASUBIRI PROPAGANDA ZA CCMU MLIKWEPO HATA ENZI ZA KUPIGANIA UHURU NA MLIKUWA MNASIKILIZA MZUNGU ANASEMAJ KISHA MNAWAITA WAKINA NYERERE WAKABILA NA WAROHO WA MADARAKA WASIO NA USTAARABU ILA SHIDA ILIKUWA NA BADO IPO KWAKO NI UJINGAAAA....
 
:Dbado ni mihemko tu, kubwabwaja na ghadhabu hakuna hoja...

unalalama tu na kulaumu wengine kwa chuki...

lakini wewe pamoja na chama chako mipango yenu ni ipi kudeal na hayo unayoyalalamikia?

mimi sina haja na kutajataja majina tu kwa mistari isiyo na vina...
mimi sitegemei mawazo sijua ya prof au ya nani ili nipate hoja, ni upi mbadala wa malalamiko yako?

au kwa vile unaweza kulalamika vizuri ndio uomekane kwamba wewe ndie kiongozi bora na hodari zaidi wa kulalamika na kulaumu wengine na kwahivyo uchaguliwe kuongoza nchi:D
 
Back
Top Bottom