Kushindwa kwa Kenyatta na wengine waliomfuatia kuweka mbele maslahi ya nchi ya Kenya isiwe sababu ya kutulazimisha kuingia kwenye shirikisho eti tunawasaidia waondokane na matatizo yao ya kikabila.
Suluhisho liko huko huko Kenya. Waweke utaratibu mzuri na haki wa utawala.
Nyerere alipokuwa anahangaika na kuwaunganisha waTanzania wao wanatucheka eti tunagawana umaskini. Huu sasa ni wakati kwa waTanzania kuweka juhudi zao zote kutafuta maendeleo kwa kufanya kazi; tuachane na kutafuta sifa za kwenda kuwatatulia matatizo yao yasiyotuhusu.