Kenya Election 2007: Outcomes

Kushindwa kwa Kenyatta na wengine waliomfuatia kuweka mbele maslahi ya nchi ya Kenya isiwe sababu ya kutulazimisha kuingia kwenye shirikisho eti tunawasaidia waondokane na matatizo yao ya kikabila.

Suluhisho liko huko huko Kenya. Waweke utaratibu mzuri na haki wa utawala.

Nyerere alipokuwa anahangaika na kuwaunganisha waTanzania wao wanatucheka eti tunagawana umaskini. Huu sasa ni wakati kwa waTanzania kuweka juhudi zao zote kutafuta maendeleo kwa kufanya kazi; tuachane na kutafuta sifa za kwenda kuwatatulia matatizo yao yasiyotuhusu.
 
Ndani ya EAF itabidi wajione wakenya zaidi kuliko wakikuyu/wakamba/wajaluo etc. Ni kama vile ambavyo ndani ya muungano wetu waunguja na wapemba wanajiona zaidi kuwa ni wazanzibari kuliko uunguja na upemba wao. Wale waliowahi kusomasoma kidogo kuhusu group dynamics wanajua kuwa namna moja rahisi na ya uhakika ya kuua ethnocentrism is to make the group larger so that those groups that thought they were large and powerful can be absorbed in a more powerful and superior group. hii ni principle ambayo imetumika sehemu nyingi kuua primitivity perpetuated by tribalism, sasa sijui kwa nini useme "it is naive".

..kaka,

..hiyo more powerful and superior group ndiyo ipi? tz and ug?

..sikatai hiyo school of thought uliyoi-quote,lakini kwa hali ya hapa kwetu mashariki ya afrika,hiyo ni ndoto.
 
Kitila, Dar si Lamu, Dua

In the same grounds- hata mauaji ya Rwanda 1994 yasingetokea kama tungekuwa na EAF Rwanda na Burundi wakiwa wanachama! Watutsi wangweza kuu kujichanganya na makabila mengine throuh migration na kuhamia Tz, Uganda n.k Wahutu na Watutsi wangejitambua zaidi kama Rwandese.

We need a strong EAF kupunguza matatizo ya ethnic tensions in the region kama ilivyotokea Kenya!

Why are we so sckeptical on the benefits of intergration? Kama sii Muungano may be leo tungekuwa tunaongelea Pemba na Unguja kama nchi- angalia Comoros na matatizo yaliyopo!

The more we delay EAF- the worse! Sababu za kiuchumi ziwe secondary!
Kwani ndoa faida ni za pesa tu?? Kuna ulinzi, watoto, n.k. Mapenzi ya pesa saa ingine hayadumu!

..kitila,mzalendo...,

..ndio maana nikasema kufikiria hivi ni naive,kwasababu pamoja na kwamba hayo mawazo ni mema,hayawezekani katika hali halisi!

..samahani ningeweza kuelezea kidogo,ila muda na tabia yangu mbaya ya uvivu wa kutoa maelezo! hebu tutazame the balkans,je?tunajifunza nini?

..if u ask me jamii za hapa hazitofautiani sana na za balkans,huwezi kuzi-intergrate bila udikteta!

..sasa,kama the good cause kwa you guys ni kuungana,itabidi udikteta utumike!je,hii ndio mnataka?
 
Waungwana,

Mimi naona tusijidanganye na mambo ya EAF mpaka pale nchi wanachama zitakapokubali misingi ya demokrasia pamoja na utawala bora.

Pension ya amani ni fairness and a just system, sasa hata tuwe kwenye muungano wa Afrika nzima, kama kwenye majimbo yetu, kutakuwa na watu kama akina Kibaki, Museven, au hata Mkapa, ambao wako tayari kuua watu ili kulinda madhambi yao ya wizi, basi hizo vurugu zitatokea tu.

Zitaacha kuwa za nchi na sasa zitageuka kuwa za majimbo.

Kama tungelikuwa tumeuungana kwenye EAF, je mambo yanayotokea Kenya sasa, tungeyhazuia vipi?

Tufanye kama wenzetu wa EU, tutengeneze misingi ya utawala bora ambayo inakubaliwa na wananchi wetu walio wengi. Nchi isiruhusiwe kuingia mpaka imetimiza hiyo misingi yote.

Kwasasa sidhani kama hiyo EAF itasaidia. Labda tuweke nguvu kwenye kushirikiana kiuchumi kabla ya kufikia federation yenyewe.

Mfano mzuri ni mauaji ya Pemba na Zanzibar, pamoja na muungano wetu wa miaka 40, mbona Jamhuri ya Muungano wa tanzania haikuweza kuzuia hayo mauaji? badala yake ndio ilikuwa inapeleka majeshi kwenda kuua wananchi waliokuwa wanaandamana kupinga wizi wa kura.


Mtanzania,

EAF tusubiri hadi lini? We have waited 45 years -so what have benefited! Countries are coming together all the world- leo EA ni masikini na bado tunaogopa!

If EAF ingetokea 1960s leo kiuchumi na kisiasa tungekuwa mabli zaidi! Mawazo yale yale aliyosema Nkrumah.. "Afrika we unite or else we perish"

Hatuhitaji uchumi kutengemaa kwanza kama EU- tuungane tu -tuwe na sarafu na raisi na jeshi moja!

Ktk utengano wetu, ndo wakubwa wanatuchezea wanavyopenda!

I hope tungeungana hata leo, ili haya mambo ya Kenya yasije kujtokea tena! Wakikuyu kama wakipenda waje Tz sii kama wakimbizi ila kama Eastafricans- na Wachagga waende Kenya!
 
Mzalendohalisi

Unafurahisha sana unaposema tusubiri hadi lini? Kwani ndoa ni lazima? Yaani kwa sababu ulimwenguni nchi zingine zinaungana basi na sisi tukimbilie kuungana tu, umasikini hautokani na kutokuungana. angalia Botswana ni nchi ya kwanza Afrika kuanza kuwapa pension wale wote ambao ni wazee, yaani miaka nafikiri kuanzia 65 wanapata malipo na hawa walikuwa hohehae walipopata uhuru hata kuliko sisi. Wanatumia rasilimali zao vizuri sisi tunawapa akina RA, Sinclair and the likes.

Kama tungekuwa waangalifu leo hii tungekuwa mbali hizi sifa za kutaka kuwa mstari wa mbele ndio zinatumaliza. Waache Kenya wasuluhishe matatizo yao. Kama waafrika tukiamua hatutaki kuchezewa tuanze kukubaliana na kuweka bei za mazao yetu kama OPEC wanavyofanya kwenye mafuta sio hii miungano ya kulazimishana. Vile vile viongozi waache kuweka pesa wanazoiba kwa walalahoi huko majuu na kulazimishwa sera na makuwadi wao IMF na World bank.

Kitila

Tuachane na kuwa messiah, kazi tuliyofanya ya kukomboa kusini mwa Afrika imetosha na sasa ni wakati wa kukomalia maendeleo ya WTZ, politically kama tunataka kuwa kitu kimoja inawezekana hata bila ya Muungano. Matatizo yetu hayawezi kwisha kwa sababu ya kuungana, ni lazima kuchapa kazi kwa ufanisi na kuona keki ya taifa inatumika vizuri bila kufaidisha miungu watu pekee.
 
Mtanzania,

EAF tusubiri hadi lini? We have waited 45 years -so what have benefited! Countries are coming together all the world- leo EA ni masikini na bado tunaogopa!

..like in the balkans,sio!

..unajua EU imewachukua miaka mingapi ya mipango yenye kusimamiwa kwa adabu,mpaka wakafika hapo? na kama haitoshi ilipoitishwa kura ya maoni wananchi wakagoma!

If EAF ingetokea 1960s leo kiuchumi na kisiasa tungekuwa mabli zaidi! Mawazo yale yale aliyosema Nkrumah.. "Afrika we unite or else we perish"

..tutakufa kama kwame na bado afrika itakuwa si moja! kitu gani hasa kinachoweza kutuunganisha? huu umasikini? au huu ujinga wetu? au haya maradhi tuliyonayo? maana,for sure resources zitatutenganisha vibaya sana! unafikiri angola wako tayari ku-share mapato ya mafuta na swaziland? unafikiri botswana wako tayari ku-share mapato ya almasi na malawi? kisa,mashemeji zao au?

Hatuhitaji uchumi kutengemaa kwanza kama EU- tuungane tu -tuwe na sarafu na raisi na jeshi moja!

..uchumi ndio nguzo. infact,hamwezi kuwa na sarafu moja kama kimsingi mnatofautiana kiuchumi,labda mmoja amtawale mwingine,then hiyo ni hadithi tafauti!

Ktk utengano wetu, ndo wakubwa wanatuchezea wanavyopenda!

..tulishatengwa toka enzi ya "the scramble for africa"

I hope tungeungana hata leo, ili haya mambo ya Kenya yasije kujtokea tena! Wakikuyu kama wakipenda waje Tz sii kama wakimbizi ila kama Eastafricans- na Wachagga waende Kenya!

..waje baada ya kufukuzwa nyanza na western? na wachagga waende sehemu ipi kenya? ushawahi kuona konyagi ikiuzwa baa kenya?
 
Kwa wote wanaounga mkono hoja ya EAF, mimi nasema kuwa si katika mazingira ya sasa. Ni vema tuendelee kuishi kama wana kijiji kimoja huku kila mtu akiwa na mji wake kuliko kuvutana kuhamia wote kwenye mji mmoja mkubwa wakati hatuwezi kula pamoja. Mpaka hapo tutakapoweza kula pamoja, yaani wote kuwa na tabia zinazofanana ndipo tutaweza kuungana.

Ingawa ni kweli kuwa muungano una faida nyingi sana, vile vile tusisahahu kuwa muungano unaweza kuwa na hasara zaidi kama utaletwa kwa watu ambao ama hawautaki au hawakuwa tayari kwa muungano huo. Nchi kama za Soviet Union, na nchi nyingi za Balkan zilikuwa ni miungano ambayo wananchi wake hawakuwa tayari na matokeo yake miungano hiyo haikuwaletea maendeleo yoyote bali balaa zaidi. Tukifanya papala na EAF tutaishia kuwa "Experiment" nyingine itakayowapa wataalamu wa "Social Sciences" duniani kote topic nyingine ya kuchambua.
 
Dar sii Lam, Kichuguu

I am optimist- ktk EAF kwa vile Soviet Union na Balkans hawajafanikiwa ndo tusite? Hapana haya mazingira tofauti! EAF na EU ni tofauti sana hata kiuchumi!

We do it and perfect as we move on!

Bado jibu sijapata -tusubiri hadi lini? sasa ni 45 years! Naona tumepoteza mda mwingi!

Tuwe optimistic- hali ya Kenya isiturudishe nyuma!

In total tuko watu 120 m- this is a large and significant population hata tu for the internal market!
 
Dar sii Lam, Kichuguu

I am optimist- ktk EAF kwa vile Soviet Union na Balkans hawajafanikiwa ndo tusite? Hapana haya mazingira tofauti! EAF na EU ni tofauti sana hata kiuchumi!

We do it and perfect as we move on!

Bado jibu sijapata -tusubiri hadi lini? sasa ni 45 years! Naona tumepoteza mda mwingi!

Tuwe optimistic- hali ya Kenya isiturudishe nyuma!

In total tuko watu 120 m- this is a large and significant population hata tu for the internal market!

Kushirikiana kiuchumi inawezekana hata bila ya EAF; hilo ni jambo zuri. EAF ina maana ya kubwa zaidi ya ushirikiano wa kiuchumi. Matatizo ya kikabila yanayojitokeza Kenya na yale yaliyomo Uganda, Rwanda, na Burundi ni sumu kubwa sana ya Muungano wa EAF. Delay it know and smile forever rather than rushing it now and cry forever.
 
Bado jibu sijapata -tusubiri hadi lini? sasa ni 45 years! Naona tumepoteza mda mwingi!

..unaongea as if it's a marriage we are talking about!and we are getting late having a family!

..mzalendo,i'm afraid we don't need to!really!

Tuwe optimistic- hali ya Kenya isiturudishe nyuma!

..issues za kenya,are warning shots,hasa kwa hiki kizazi cha voda fasta,kwamba mambo magumu na makubwa hayahitaji haraka!

..it's a good lesson!and i hope it's lesson learnt!
 
Fighting spreads in western Kenya

_44384574_fleeing_b203_ap.jpg
_44384569_naivasha2_i203_ap.jpg


The fighting in Naivasha has
forced more people to flee their homes



Fighting has erupted in another town in western Kenya, say reports. Reports suggest at least nine people have been killed in brutal inter-tribal bloodshed in Naivasha. Gangs of youths blocked the main road. The town is about 60km (37 miles) south of Nakuru - also the scene of recent fighting - and sits on the main road between Nakuru and the capital Nairobi.
Former UN chief Kofi Annan has been holding talks to try to end the month-long election deadlock in Kenya.

He was meeting opposition leader Raila Odinga in Nairobi on Sunday. Mr Annan visited the violence-racked Rift Valley on Saturday, and later said he had seen tragic, heart-wrenching scenes, and "gross and systematic abuse of human rights".
Mr Odinga accuses his rival, President Mwai Kibaki, of stealing December's presidential election.

Unrest has left at least 750 people dead and about a quarter of a million homeless.

Hacked to death

The fighting in Naivasha is thought to have broken out late on Saturday, says the BBC's Adam Mynott in Nairobi.

Reports are confused but he says at least nine people are feared dead - hacked to death by mobs with machetes. Vehicles and buildings have been set on fire. Police fired over the heads of youths blocking the main road. Some of those fleeing the violence have taken shelter in some of the horticultural farms around Naivasha, our correspondent says. The area's huge horticulture and flower-growing industry employs more than 20,000 people, and supplies a third of Europe's cut flowers. Further north, Kenya's fourth biggest city Nakuru has also been the scene of deadly violence between rival Luo and Kikuyu communities.

At least 30 people have been killed since Thursday and scores of people were injured in clashes between fighters armed with machetes, spears and bows and arrows. There were no reports of further fighting from Nakuru on Sunday. But the ruins of torched buildings smouldered, and a reporter for news agency AFP said bodies lay in the city's deserted slums.

Annan call

Meanwhile, further south in Nairobi, Mr Annan has embarked on a sixth day of talks aimed at mediating a solution to the crisis.
He met Mr Odinga, after meeting Mr Kibaki on Saturday.

On Saturday, he visited Eldoret in the Rift Valley, scene of some of the worst post-election violence took place and spoke to refugees living in camps. "We saw gross and systematic abuse of human rights, of fellow citizens and it is essential that the facts be established and those responsible held to account," he said.

Fundamental changes, he added, were needed in Kenya to prevent a repetition of inter-ethnic violence. "We cannot accept that periodically, every five years or so, this sort of incident takes place and no-one is held to account," he said.

_44383552_kenya6_afp416b.jpg



People in the Kenyan town of Nakuru have been fleeing with
whatever they can carry after homes were burned to the
ground in two days of tribal violence.



_44383545_kenya1_afp416b.jpg



More than 600 people have been killed countrywide in the
unrest triggered by December's disputed presidential election.



_44383550_kenya4_afp416b.jpg



Rival gangs of young men armed with machetes, metal bars
and bows and arrows are stalking parts of the Rift Valley area.



_44383553_kenya7_ap220b.jpg



Some 250,000 people have been driven from their homes
since the disputed election.



_44383551_kenya5_afp416b.jpg



Former UN head Kofi Annan visited the Nakuru area on
Saturday and condemned the "gross and systematic
abuses of human rights" in Kenya.



_44383549_kenya3_ap220b.jpg



Some Nakuru residents have sought refuge in Nairobi, where
they are reliant on food handouts from the World Food Programme.



_44383548_kenya2_ap220b.jpg



A young boy collects grain that fell off a World Food
Programme truck. There are fears Kenya's ethnic
violence could escalate into a humanitarian disaster.

Slowly but surely Kenya is no more ... ..................Zimbabwe or Somalian style.
 
How long should this go before the powers that be could seriously intervene? Can Raila and Kibaki get out of their mansions and hotels and tell their supporters to stop the madness in the streets?If the so called East African Community cannot have powers to reverse the trends in Kenya, should it be there in the first place? What about the AU? So, we are waiting for the mzungu to come? There are just too many questions than answers, stupid us!
 
EAC walituma observers waliporudi Arusha waliahidi kutoa tamko lakini baada ya kupewa peremende na mabwana zao wakabana.

EAC hawana ubavu kabisa ndio sababu wengi wetu tuna mashaka na hawa viongozi wanaoangalia matumbo yao.
 
EAC walituma observers waliporudi Arusha waliahidi kutoa tamko lakini baada ya kupewa peremende na mabwana zao wakabana.

EAC hawana ubavu kabisa ndio sababu wengi wetu tuna mashaka na hawa viongozi wanaoangalia matumbo yao.

Dua

EA walitoa ripoti yao kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki!
 
Kama una link naomba maana nilifuatilia kwa muda lakini sikufanikiwa. Thanks for that information.

Hapana, MzalendoHalisi hapo hujasema ukweli. Waangalizi wa uchaguzi toka EAC ripoti yao haina msimamo wowote wa maana kuhusu uchaguzi uliofanyika Kenya. Kwa ufupi ni kuwa wamejiumauma tu bila msimamo unaoeleweka. It is just a worst of peoples' money.

Kitila:
Sio Kibaki wala Raila mwenye uwezo tena wa kuwaambia watu kitu wakakisikiliza, kwani sio swala la uchaguzi tena sasa.

Sana sana linaloweza kufanyika sasa ni kwa kutangazwa hali ya hatari na kuwekwa curfew sehemu zote zilizo na matatizo. Na wakati huo huo, wanasiasa wakubali paundwe serikali ya mpito wakati uchaguzi mwingine ukisubiriwa. Watakaogombea urais waweke wazi msimamo wao wa kushughulikia matatizo haya ya kikabila na too much inequality katika jamii ya wakenya.

Sadly enough, ukiangalia mienendo na vitendo vya watawala wetu sasa hivi hapa Tanzania, vina dalili zote zinazotupeleka katika hali ya mfarakano kama hii ya Kenya. Ufisadi wao huu ni lazima upingwe kwa nguvu zote tulizonazo.
 
Hapana, MzalendoHalisi hapo hujasema ukweli. Waangalizi wa uchaguzi toka EAC ripoti yao haina msimamo wowote wa maana kuhusu uchaguzi uliofanyika Kenya. Kwa ufupi ni kuwa wamejiumauma tu bila msimamo unaoeleweka. It is just a worst of peoples' money.

Kalamu,

EALA walitoa reporti by 10th Jan. nilisoma The Monitor au New Vision- na walisema ule uchaguzi haukwenda vizuri! Natafuta hii link niwapatie!
 
Dua

EA walitoa ripoti yao kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki!

Hata mimi nakumbuka kuiona report yao na ni kama walisema uchaguzi haukuwa huru na hasa sehemu ya kujumlisha kura kutoka vituoni.

Huenda ninachanganya na report nyingine lakini niliona hiyo ya EA.
 
Kitila:
Sio Kibaki wala Raila mwenye uwezo tena wa kuwaambia watu kitu wakakisikiliza, kwani sio swala la uchaguzi tena sasa.

Sana sana linaloweza kufanyika sasa ni kwa kutangazwa hali ya hatari na kuwekwa curfew sehemu zote zilizo na matatizo. Na wakati huo huo, wanasiasa wakubali paundwe serikali ya mpito wakati uchaguzi mwingine ukisubiriwa.

..an intelligent insight into an issue!
 
How long should this go before the powers that be could seriously intervene? Can Raila and Kibaki get out of their mansions and hotels and tell their supporters to stop the madness in the streets?If the so called East African Community cannot have powers to reverse the trends in Kenya, should it be there in the first place? What about the AU? So, we are waiting for the mzungu to come? There are just too many questions than answers, stupid us!

..solution ni kumbana kibaki na serikali yake ku-act responsibly na kumtaka afunge kamba vijana wake wa kazi!

..odinga hana uwezo kwani hana dola! hivi sasa the issue is past politics of elections. it's about tribalism!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom