Dah ningekuwa bado kilingeni ningekuungisha.. Kuna wakati ziliadimika tukazitafuta Sana mpaka kwa wachawi wanaouza jumlaKama ambavyo zinaonekana, kwa mtu mwenye uhitaji, tuwasiliane, zipo za kutosha. Njoo na offa yako tafadhali
View attachment 3687601
Jamaa amezikwara church anazipiga bei JamiiForums!Rudisha kanisan kengele hzo
Kiongozi hata ukipata elimu bado huwezi elewa, kuna watu sehem mara fulan wanazitafuta sanaJamaa amezikwara church anazipiga bei JamiiForums!
Nimejiuliza huyo mteja atakayenunua hizo ataenda kutumia wapi?labda mleta mada atupe elimu hizi tutazitumia wapi hasa?
Hivi kwani haiwezekani kurudi kilingeni mkubwa!Dah ningekuwa bado kilingeni ningekuungisha.. Kuna wakati ziliadimika tukazitafuta Sana mpaka kwa wachawi wanaouza jumla
Huwa wanafanyia nini?Kiongozi hata ukipata elimu bado huwezi elewa, kuna watu sehem mara fulan wanazitafuta sana
Hapana mkuu.. Kama Jana ingerudi kesho nami ningerudi kilingeni😀Hivi kwani haiwezekani kurudi kilingeni mkubwa!