Sley Shabani Rashid
Member
- Dec 25, 2022
- 82
- 108
1. Mdau aliyekua anatafuta mashamba kwaajiri ya ufugaji wa mbuzi Mkoa wa Tanga naomba nitafute, zipo hekari saba na nusu bei ni 1,700,000 kwa heka moja ,mmiliki anauza eneo lote-0718884570
2. Kampuni inatafuta mashamba maeneo ya Pangani ya KIBAHA, kama unaye ndugubau jamaa anauza mashamba maeneo hayo basi nitafute nikuunganishe na kampuni yenye uhitaji-0718884570
3. Kampuni inatafuta mashamba maeneo ya Dodoma hectres zozote.-0718884570
4. Dakawa,Kisaki na Turiani Morogoro zipo hectres 100-500 zinauzwa kama unakampuni inatafuta mashamba makubwa maeneo hayo nitafute tuwaunganishe na wamiliki-0718884570
5. Beach plot ipo Mwarongo Tanga mjini sea view ipo karibu na site husika,ukubwa ni Heka tatu na nusu ipo sokoni pia inatafuta mteja full domcuments kabisa,nitafute 0718884570
Sley-Nipo Tanga mjini