Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 6,212
- 11,595
Serikali iache fee control na iwape flexibility kwenye curriculum zao for private schools, na taxes ziko juu sana, control and heavy handed ina discourage private education na kuifanya more expensive, waondoe pua zao watu wafanye kaziSerikali tunailaumu kwa namna inavyoendesha siasa za kionevu lakini kwenye Elimu hapana inahudumia watu wengi mno mpaka vijijini wasio na exposure yoyote ya dunia.