StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 5,616
- 5,871
Aina flani ya ujanja ujanja😀Kuna shule wana shule mbili , hata hao vipanga wanachujwa wapatikane vipanga wa vipanga , hivyo vipanga A wanasajiliwa kwa shule A na vipanga wa vipanga wanasajiliwa kwa shule B.
Matokeo yakitoka wale vipanga wa vipanga wanakua kama matangazo ya biashara 😃