Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

Mwalimu anakula take home 2M+ extra analipwa+ Malupulupu
Kwanini asijitoe kwa wanafunzi.
Ukitoa shule za Kanisa hakuna shule inayotoa 2M+ kwa mwalimu( tena hao ulowataja pale Kuwa mwalimu ni zaidi ya kuwa mtumwa)(namanisha shule za Mtaala wa serikali ya Tz)

Kinachobeba hiyo hali ya matokeo mazuri , mdau mmoja kasema vema kabisa hapo juu kuwa, ukiachana na mchujo wa usajili, ila bado kuna mchujo wa ndani, Wenye kufanya vizuri kuwasajili kama Kemeboys(na wanaweka idadi ndogo sana)(mfano O lever wanaweka 40 advancevwanakuwa 32) alafu marks zako zikiwa za kawaida utabaki kama kaizirege.(huki utawakuta wanafunzi hadi 300)
Sasa ukiskia Kaizirege&kemeboys wewe utavutiwa na matokeo ya hao wanapasua sana Kumbe bado mtoto wako akifika kule inategemeana mtihan atafanyia kwa jina lipi la kituo ila wote wanasoma pamoja.
 
Ukitoa shule za Kanisa hakuna shule inayotoa 2M+ kwa mwalimu( tena hao ulowataja pale Kuwa mwalimu ni zaidi ya kuwa mtumwa)

Kinachobeba hiyo hali ya matokeo mazuri , mdau mmoja kasema vema kabisa hapo juu kuwa, ukiachana na mchujo wa usahijili, ila bado kuna mchujo wa ndani ilo kuwasajili kama Kemeboys alafu marks zako zikiwa za kawaida utabaki kama kaizirege.
Sasa ukiskia Kaizirege&kemeboys wewe utavutiwa na matokeo ya hao wanapasua sana Kumbe bado mtoto wako akifika kule inategemeana mtihan atafanyia kwa jina lipi la kituo ila wote wanasoma pamoja.
hujui kitu kuna yaan ufundishe tanganyika pale usipate 2M?? ada kwa mwaka milion 69"

ambayo nahisi ww unaipata kwa miaka 7😅🤣😆

natania mkuu 🤣😂
 
hujui kitu kuna yaan ufundishe tanganyika pale usipate 2M?? ada kwa mwaka milion 69"

ambayo nahisi ww unaipata kwa miaka 7😅🤣😆

natania mkuu 🤣😂
KUchamba kwingi huku unachanganya mada, Tanganyika na kina St Francis ni mitaaala miwili tofauti kabsa
 
Nimepata muda wa kuperuse matokeo ya form 2 NECTA latest results, nimeona watoto wote wa Kemebos wakiwa na Division 1 Point 7.

Daaah niwape hongera kubwa waalimu wa hii shule kama hakuna janja janja kwenye ufanyaji wa mitihani. Hata matokeo ya form 4 mtoto aliyefeli sana alipata Division One ya point 11
Unajua maana ya kufeli?
 
Hizi LLM AI zina data za maana kuhusu Tanzania kuliko serikali yenyewe inavyojijua, research utaelewa
AI ina data ila sio hadi ground level, na AI ni trained mara kadhaa huwa naingia na kuikosoa au kuirekebisha na tena narudi baadae nakuta ina makosa yale yale naisisitiza ijirekebishe.

AI yako haijakueleza kuwa Kemebos wanachuja wanafunzi. Sababu hiki kitu shule hizo huwa hazitaki kijulikane, na huwa hazisemi wala haziandiki popote.

AI inakuwa fed na taarifa zilizopo online, leo Mbagala wakiamua wauze fungu la nyanya kuanzia za 500 na hakuna chini ya hapo ila wasiandike mtandao wowote basi AI haitojua. Kwahiyo ukiiuliza ipange bajeti ya mlo wa 1500 pale Mbagala, itakutaka ununue nyanya za 200.

AI sio ya kutumia kwenye vitu local vinavyotaka very specific answers.
 
Za kupewa changanya na zako 😁
 
Serikali tunailaumu kwa namna inavyoendesha siasa za kionevu lakini kwenye Elimu hapana inahudumia watu wengi mno mpaka vijijini wasio na exposure yoyote ya dunia.
 
Back
Top Bottom