Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

Msichojua, pale kuna Shule mbili kwa maana ya Kemebos na Kaizirege, sasa wakati wa mitihani wanafunzi wale wenye kuleta matokeo mazuri huwekwa Kemebos, na wale wengine hupelekwa Kaizirege. Fuatilia matokeo ya Kaizirege utaelewa nachosema.

Kaizirege.png
 
We all know that ,mimi kinachonikwaza ni kuwa tunawaita vipanga kisa elimu ya kukariri bila hata ya madogo kuwa na ujuzi mdogo tuu kichwani.

NB:NINASEMA IVO KWASABABU MIMI PIA NI MUHANGA NA NILISOMA PRIVATE PRIMARY MPAKA O LEVEL NIKAJA KUJUA TU NI UPUUZI TU HAMNA JIPYA HUKO U PRIVETINI
 
Private hakuna Jipya, ila atleast una Auheni ya Kufauru na kuendelea mbele.

Sisi tulio soma Kayumba, mtiti wake tunaujua, Ni Msoto tuu
 
Private ni kufarijiana tuu,sisi tulipofika chuo wanangu wengi wa kayumba ndo walikuwa vipanga balaa kuliko hata wale wakujitapa.
 
Mzazi mpeleke mwanao private ili aishi maisha mazuri tuu kipindi chake cha elimu ,ila ujue tuu akienda chuo na asipokuwa serious atakushangaza huto amini . Kwasababu chuo pia kujua English sio guarantee ya huyo kijana kufaulu vizuri.
 
Hivi watoto wanaotoka hizi shule huwa wanafanyia kazi wapi wakimaliza shule,nawaza tu,unakutana na mtoto aliyetoka shule kama hizi kwenye interview,huyu lazima yeye atapita tu,na anayetoa ajira huyu hawezi kumuacha,kwahiyo siye wengine wa st.kayumba inabidi tuendelee tu kutafuta vizimba vya kufanyia biashara...

Sio kweli Mkuu, shuke ulio somea msingi, secondary, advance haimati chochote.

Jinsi utakavyo changamka chuoni, ndo utapata skills & Connection.

Hao wanafunzi wa private kipanga, tuko nao makazini huku it does not count.

Faida yake, ni kwqmba lazima afaulu, wakati Kayumba Ufaulu uko kwenye Miguu yako kama mbwa.
 
Msichojua, pale kuna Shule mbili kwa maana ya Kemebos na Kaizirege, sasa wakati wa mitihani wanafunzi wale wenye kuleta matokeo mazuri huwekwa Kemebos, na wale wengine hupelekwa Kaizirege. Fuatilia matokeo ya Kaizirege utaelewa nachosema.

View attachment 3531735
Mbona hata hayo matokeo bado yapo super?
 
Hawa vijana wa single digits nao huwa wanakesha tiktok wakijirekodi clips zisizo na staha?. Kuna dogo hapa wa shule ya kata amepata two chafu ila anajiona amepasua sana. Mwenyewe kutwa ni kuji-post aki-dance kwenye tiktok.
 
Division II ya form 2?
 
Sio kweli Mkuu, shuke ulio somea msingi, secondary, advance haimati chochote.

Jinsi utakavyo changamka chuoni, ndo utapata skills & Connection.

Hao wanafunzi wa private kipanga, tuko nao makazini huku it does not count.

Faida yake, ni kwqmba lazima afaulu, wakati Kayumba Ufaulu uko kwenye Miguu yako kama mbwa.
Sahihi, na bado wengine waliosoma ushuani wanapotezwa na wa Kayumba kwenye interviews za kazi
 
Private ni kufarijiana tuu,sisi tulipofika chuo wanangu wengi wa kayumba ndo walikuwa vipanga balaa kuliko hata wale wakujitapa.

Sasa hao walio soma private unauhakika wangepelekwa kata wange faulu.

Shule gani hizo zinatoa 1 -9, II - 20, III - 35, IV - 60 nk.

Kufaulu ukiwa kayumba ni bahati na Juhudi zako, ukilegeza kichwa ata division III utaitafuta kwa torch.
 
Hivi hawa watoto vipanga wakimaliza(ga) vyuo huwa wanapotelea wapi? Wanamezwa sisiemuni? Baada ya haya maA-plus ya kumwaga impact yao kwa taifa tunaiona wapi sisi kenge? Wanakua maengineer? Madaktari hawahawa wa mwanayamala, muhimbili na tumbi? Au wapo wapi tuone uwezo wao mkubwa kuliko kenge wengine kwenye utendaji? Just curiuos wandugu...
 
Back
Top Bottom