Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,471
- 2,674
sasa shule wanaenda fanya usaili wanafunzi zaidi ya mia5 kisha wanachagua clean tu watafelishaje sasa hapo ni wanafunzi wapo clean na hawaibi mitihan bali n matokeo yao halisi
hv unadhan tukiwachukua wanafunzi wa buza sekondari tukawapeleka kemobos na kaizielrege kisha uongoz na walimu na mazingira na masosi ubaki ule ulw iv unafikir 4 na zero zitakosekana??
zikikosekana jua sio wanafunzi wa buza naowajua mm😅🤣😂