Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

Trust me. Hua siwezi kuongea uongo ambao sipati hela wala sifanyi utatuzi, ni aina ya uongo ambao hauna maana.

Gwamaka alikua ni kilaza kiasi kwamba waliacha kumpiga matatizo ya akili (ukichaa), akaonekana mzima kabisa ila tu ndo kilaza.

Dakika za mwisho mpaka walimu waliacha kumpiga bakora kwa makosa yanayo husika na elimi.

Alikua kuacha shuke kabla ya mtiani wa taifa wa form 2.
 
We pimbi uyo ni gwamaka njobelo..au unamuongelea gwamaka wa kijijini kwenu kinamampundembumbuseseni???
 
Trust me. Hua siwezi kuongea uongo ambao sipati hela wala sifanyi utatuzi, ni aina ya uongo ambao hauna maana.

Gwamaka alikua ni kilaza kiasi kwamba waliacha kumpiga matatizo ya akili (ukichaa), akaonekana mzima kabisa ila tu ndo kilaza.

Dakika za mwisho mpaka walimu waliacha kumpiga bakora kwa makosa yanayo husika na elimi.

Alikua kuacha shuke kabla ya mtiani wa taifa wa form 2.
Chai.
 
AI ina data ila sio hadi ground level, na AI ni trained mara kadhaa huwa naingia na kuikosoa au kuirekebisha na tena narudi baadae nakuta ina makosa yale yale naisisitiza ijirekebishe.

AI yako haijakueleza kuwa Kemebos wanachuja wanafunzi. Sababu hiki kitu shule hizo huwa hazitaki kijulikane, na huwa hazisemi wala haziandiki popote.

AI inakuwa fed na taarifa zilizopo online, leo Mbagala wakiamua wauze fungu la nyanya kuanzia za 500 na hakuna chini ya hapo ila wasiandike mtandao wowote basi AI haitojua. Kwahiyo ukiiuliza ipange bajeti ya mlo wa 1500 pale Mbagala, itakutaka ununue nyanya za 200.

AI sio ya kutumia kwenye vitu local vinavyotaka very specific answers.
Ni kweli brother Al kuna muda ni liongo sana ndiyo maana mimi hatuwezi kuanza mjadala wowote na Al alafu nimalize sijamtukana haipo hiyo siku ni muongo na anapenda kuupamba uongo wake kwa vijimaneno vya kejeli
 
2m mbona ni pesa mbuzi tu. Naamini anastahili 5m + allowances
Hiyo unayoongelea sio Tanzania na kama ni Tanzania basi Heshimu kipato cha watu hata kama wewe unapata kikubwa.
Watu wengi tz wanaishi kwa vipato chini ya 300,000 kwa mwezi.

Asilimia chache kati ya laki 5 na laki 7

Chache sana kati ta laki 7 na 1.2M

Wachache sana zaidi 1.3 - 1.8M
Rarely 2M- 5M hii ni very minority class
Hawa wote ni wajenzi wa Taifa na wanaipa kodi, hawavunji sheria za nchi, hawana makando kando
 
Hapo huwezi kuta mtoto anashindwa kutamka subscribe au Wakorintho 😂😂
Lazima wote wawe wamotoo, hata ukimpa paper saa 7 usiku hakosi 70.
😂😂😂😂😂 ukitaka kuwajua hawa vizuri wapeleke shule za serikali hasa Level ya Advance.
Nachoka mie.
 
Sasa hao walio soma private unauhakika wangepelekwa kata wange faulu.

Shule gani hizo zinatoa 1 -9, II - 20, III - 35, IV - 60 nk.

Kufaulu ukiwa kayumba ni bahati na Juhudi zako, ukilegeza kichwa ata division III utaitafuta kwa torch.
Mbona wanakuwaga advance level shule za serikali, hawana maajabu kabisaa.
 
Back
Top Bottom