Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

images

Yaani huyu mzee mwanae kaoa mtoto mzuri ajabu but nahisi mdada alifata pesa tu maana jamaa hana mvute kabisa. Chezea pesa weye
 
Hapo ndipo wanawake wanapopoteaga sana na ndoa zilizoingia kwa kipimo cha kazi ya mwanaume kuibukia migogoro ya kutosha..

Unakuta mdada kamzimikia mwanaume banker mshahara laki 7 net anaolewa akijua ameukata, anaingia ndani ya ndoa baadae anagundua amepotea anaanza kumtamani mume wa mwenzake anaepanga ma container bandarini hajui kuvaa tai kila siku ma ovaroli tu lakini kipato sasa mamilioni


Dada zangu nawashauri kama mnapenda wanaume kwa kigezo cha pesa msiangalia mavazi na uzuri wa ofisi ya kidume, kuna watu wanatengeneza hela vibaya mno kwa kazi zisizoruhusu kupendeza..

Mnajua mume wa nancy sumari Luca anafanya nini? Nenda kafanye homework yako jamaa nilimkuta kwenye container yard yake DICD amekula reflector, safety boot, jeans full kisela kama msela tu wa mjini yupo disorganised anasaidia kupanga macontainer na hapo anatengeneza hela vibaya mno..nikasema nancy ana akili sana wenzangu na mie mnaotungangania kina Yahaya na tai zetu tunafurahije..

Kuna watu wa coz za ardhi pale sijui ma surveyor, artchr,contractr wanapiga hela vibaya mno lakini wapo lafu,

Kuna wauza mitumba, wauza vifaa vya magari gerezani, wana hela vibaya mno but ukiwakuta kazini unafikiri waganga njaa tu nenda kaone maisha yao na familia zao utakimbia

I couldn't agree more with your views... no to a banker, yes to those man who go for field works but also educated
 
Ebu kuja hapa uache neno hata moja la hekimatele usiende nazo zote huko.

Wadada wa siku hizi hawapendi kutoka jasho. Wanataka kazi ambazo watakaa kwenye AC na kupangusa pangusa tu mitandao. Simu kubwa kama Samsung au iphones zenye minato ya picha ili wakujuze matukio kwa picha.
Sasa sijui nisemeje tena.
 
Wadada wa siku hizi hawapendi kutoka jasho. Wanataka kazi ambazo watakaa kwenye AC na kupangusa pangusa tu mitandao. Simu kubwa kama Samsung au iphones zenye minato ya picha ili wakujuze matukio kwa picha.
Sasa sijui nisemeje tena.

Unasemaje kuhusu vijana wanao bagua kazi wakiamini hazina mvuto kwa kina dada?
 
Wacha kunikatisha tamaa bana.... Tena mshindwe wewe na wenzio!!!
hapana mama, ila huo ndio ukweli...
hujawahi kusikia kila kisa kuwa mama kakamata baunsa kamnywesha pombe, kisha kamuuliza nini tena kijana unataka nikupe...
baunsa akajibu... ningepata mume akamshughulikia angefurahi kweli...
jaribu uone....!
 
Kuajiriwa na kujiajiri zote ni kazi ..
Kuhusu nyie wanawake mnaotaka wapenzi wenu wawaambie kazi zao si kila mtu atakuonyesha kazi yake anayoifanya..

Mfano kazi za watu wa intelligence agencies mara nyingi ni za siri na sio za kutangaza...wengine hata wazazi wao hawajui wanafanya kazi gani ije kuwa wewe kisorokokwinyo aliyekutana na wewe mtaani..? Sidha


Ha ha ha aaaa kanakomaa kabisa eti nakupigia simu siku nzima hupokei una kazi gani????!!!!
 
Kazi nzuri uliyojiajiri mwenyewe na inayokuungizia kipato,hauwezi ukajiproud kwa kazi za kuajiriwa hata kama ni CEO ,HOD au CHRO,Senior Managers,CCO,CFO hauwezi tamba mda wowote kibarua kinaota nyasi...Nawakubali sana wajasiriamali.

Ni mtazamo wako...
 
Back
Top Bottom