Chama kilicho letwa na mungu chenye kiongozi alie msaliti mungu. Hii ni kali.
Wote tuseme amen.. Usiposema ame juu ya hii hoja we ni lumumba project
Lisu 20% albert msando 80%
Huo ni ukweli usiopingika, anayempinga Tundu Lisu hana jema na taifa hili, kuna watu wametumwa kuwawakilisha wananchi kweli, lakini wengine wameishia mitini na kuamua kulisaliti taifa, angalizo, kilichopangwa na Mungu, binadamu hawezi kupangua, they will havest what they plant.
..tatizo la Prof.Mwandosya ni kwamba tangu aingie kwenye siasa basi akili zake katia maji.
Mke yupi aliyeporwa? nyinyi mnakandamiza haki za wanawake, watu wakiachana mwanaume ruhusa kuelewa lakini mwanamke haramu! ACHENI SIASA ZA KUWAKANDAMIZA WANAWAKE WEWE. Mlijaribu kufungua kesi ikaota mbawa....,Chama cha Mungu viongozi wao kazi yao kupora wake za watu.
msomi, mwanaharakati, akili nyingi, ni icon nzuri sana kwa cdm na nchi kwa ujumla, sio vilaza wa ccm kazi yao kusema ndiooooooooooooooooo!!!!!!! Bila ya ku reason, akili ya mh.advocate tundu lissu ni sawa na wabunge 100 wa ccm!!!!!!
1. Msitafute huruma kwa kuwahadaa watu kuwa chadema ni chama cha mungu, huo ni ujinga uliopituka mipaka
2. Ni upumbavu ni kuhusisha chama cha siasa na imani/ mungu
3.mungu hayupo upande wa wamwagia watu tindikali
4.mungu hawezi kuwa upande wa watu wanaolisha wenzio sumu
5. Dr kigwangalla alishasema wazi bungeni kuwa anamtibu lissu ule ugonjwa wake, tupate updates juu ya hilo
6. Mungu hayupo na wazinifu wanaovunja ndoa za watu
Tufanye siasa za hoja sio vioja