I fully agree with you best in politics and legal... Very weak in discuss economical related issues which to my knowledge it is our main concern as a country!!!! I only see Zitto in economy the rest are politic ... Which I hate... B'se it has failed to sslvage our country from poverty!
Kumsaliti Mungu unamaanisha nini?? Kuna namna nyingi za kumtumikia Mungu, kumtumikia Mungu sio lazima ukae kanisani na kuongoza ibada ndio ionekane kuwa unamtumikia Mungu, hata kuongoza harakati za kukomboa watanzania walioishi miaka hamsini ya uhuru msukuleni ni kumtumikia Mungu pia!!
Wote tuseme amen.. Usiposema ame juu ya hii hoja we ni lumumba project
Usiamu kwa hoja dhaifu ya Amen. Kamati ya kanuni za Bunge la Katiba lina watu wengi akiwemo Mwenyekiti wao Prof. Mahalu. Kumpa sifa zote mtu mmoja peke yake ni uchoyo wa sifa au uchongo wa jicho. Hata hivyo linapokuja swala la Kamati ya kanuni za bunge maalum la katiba achaguliwa mjumbe mmojawapo kutoa ufafanuzi.
Shida moja ya binadamu akisifiwa sana hujiona bora kuliko hata Chama Chenyewe. Wahenge waliisha tuasa kwa seminyingi tu . Mfano 'Mgema akisifiwa hulitia tembo maji' ' Sifa ni mama wa wajinga'. Sifa hizo ndizozilizomponza Zito Zuberi Kabwe. Lakini pia palipo na wasomi wachache mwenye certificate anaweza kuonekena kama mtu aliyebobea. Katika ya vipofu mwenye chongo aweza kuwa lulu ati.
Hakuna kifungu cha kipuuzi hata kimoja katika rasimu ya kanuni!,kila kifungu kina maana na kizuri japo kinaweza kuboreshwa au kubadilishwa kulingana na hoja za mjumbe au wajumbe.
Vilevile sio hoja zote ziletwazo na mjumbe za marekebisho zinaweza kuwa na maana hasa ziletwazo na watu mnaowaita ni akina anti...pass kama Tindu....ambao hawachukui muda mwingi kufikiri na kuchambua hoja(positively n negatively) wao ni waropokaji na wapo kiitikadi za vyama vyao na sio utaifa.Kwa mtu ambaye si mchambuzi anaweza kuwaona kama ndo wa maana sana ndani ya bunge, kumbe ndo wahujumu wa muda na pesa na ndo vikwazo katika kufanikisha mchakato huu wa katiba.
Zipo hoja za msingi anazozichangia Tindu na pia zipo zisizo na maana hasa zile za kupinga kwa ushabiki wa chama chake na huku akitafuta support kwa wanachana wake.......binafsi kazi anayofanya nampa 46% ambayo ni sawa na daraja C namaanisha ni ya kawaida sana kama wajumbe wengine na wapo wengi sana wanaofanya vizuri sana.
Funguka Mtanzania acha ushabiki wa Vyama sikiliza,chambumbua,tele hoja tujadili yenye masilahi na nchi.
Chama cha Mungu viongozi wao kazi yao kupora wake za watu.
Tundu Lissu ni mpango wa MUNGU
Huwa simkubali Lissu kwenye bunge la jamhuri.
Ila this time Tundu Lissu ameonesha ukomavu wa hali ya juu kwa mara chache nilizomuona anaongea.
Akiwa kama hivi siku zote anaweza kufanya vizuri zaidi bungeni.
Tundu Lissu ni koki ya maji,Zitto ameichezea ameloa mpaka leo hajakauka
Mkuu kinachowaharibu ni mfumo wa ccm hauruhusu watu kutumia upeo wao zaidi ya ule wa chama.
kama unavyoona dodoma ccm inavyolamisha wanachama wake, bila kujali mawazo huru ya mtu wanataka wote waseme ndio.
Sasa hapo Mwandosya upeo wake atautumia wapi.?
Tujitahidi ccm ing'olewe madarakani ili tufaidi elimu za akina Mwandosya.