xivii09
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 269
- 156
..huyu ni mwanasheria nguli, na ameshiriki kuandika kanuni za uendeshaji wa bunge la katiba.
..kwa mtizamo wangu huyu alistahili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa bunge letu la katiba.
cc Pasco
akiwa mwenyeketi anakua kama refa kwenye uwanja kuna madhara hapo utakosa mambo mengi hapo kama ninavyoumia kukosa pendo la Dr.Mvungi R.I.P uwezi kumweka messi awe refa kisa ni mchezaji mzuri mwache acheze uone magoli lissu habaki hapo hapo anafaa hata uwaziri haumfai labda u PM
Last edited by a moderator: