Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Mheshimiwa Tundu Lissu ni mmoja wa watu waliotunukiwa vipaji na Mwenyezi Mungu. Namkubali sana ndugu yetu huyu. Tanzania inamhitaji sana, hususan hivi sasa ambapo nchi imejaa viongozi wababaishaji wengi. Tunahitaji mtu anayesimamia mstari ulionyooka, asiyeyumbishwa na fitna za kisiasa na mahiri wa sheria na mpenzi wa dhati wa haki.

Nawasilisha.
 
Kweli bila unafiki hata mimi namkubali Tundu Lissu,jamaa anajitahidi sana katika kujenga hoja. Pia anaifahamu sharia vizuri, anamvuto anapoongea wa kumfanya msikilizaji au mtazamaji aendelee kumtazama. MUNGU Amurehemu huyu jamaa.

Mungu amrehemu?????

Kwani amekufa??
 
Chama kilicho letwa na mungu chenye kiongozi alie msaliti mungu. Hii ni kali.

Hujui kosa la yuda kwa macho ya binadamu, ni utukufu kwa mungu maana bila yuda ambaye miongoni mwao ndo hakuwa mungu ndiye alikamilisha ukombozi mwa wanadamau wote ambayo yesu alikuwa anaupigania kwa hali na mali.
 
Wanajamvi,

Kwa wale mnaoangalia Bunge Maalum la Katiba mtakubaliana na nami kwamba Mh. Tundu Lissu anafanya mambo ya "kutisha" kuhusu Kanuni za uendeshaji wa Bunge husika. Hivi punde kapangua mbaya hoja za ma"Dr." Pindi Chana, Susan Kolimba, na magamba mengine waliojikanganya kuhusiana na kanuni.

Huyu bingwa anajibu hoja hadi raha ndani ya roho; wallahi huyu jamaa ni mbaya kwenye medani ya Kanuni na Sheria; sijui asingekuwa mle mjengoni mambo yangekuwaje? Sasa hoja yangu ni kwa kuwa tangu hili Bunge lianze takribani wiki tatu sasa, zaidi ya 80% ya hoja zimejibiwa na huyu Kamanda Makini, je, naye posho yake ni 300,000/= tu? Nadhani hata 3,000,000/= ana-deserve. Nawasilisha.
 
teh teh teh teh!
 
safi sana.uko sawa kamanda.hili jembe
 
Akuoe uwe mke wake wa pili.
 
Anafanya kazi vizuri. Ndugai na Ma-mkubwa walikuwa hawampi nafasi kwani walijua wakimwachia atakuwa anawamaliza kilasiku.
 
Tundu hayuko bungeni kwa ajili ya posho kama maccm, yeye yuko kwa ajili ya Watanzania, hata bure Chadema watafanya. Ila kwa Magamba ni ngumu hilo kutokea, wao posho kwanza, maslahi ya Watanzania baadae.
 
Back
Top Bottom