Wakuu JF, Amani iwe nanyi.
Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.
Sina Mengi, Najua kuwa wale Buku 7, Lumumbar Project, Wakiongozwa na Senior Lumumba Buku 7 Project,
Ritz , watakuja na Povu, Mkia Juu
Katika Kutaka Ku Justify kwa Ma Boss wao jinsi Cash advance (One Month) walizoepewa tayari vile Zinafanya Kazi.
Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla