Kaka Jambazi
Member
- Dec 23, 2012
- 99
- 7
anastahili kuwa waziri wa wanawake, wajawazito na watoto
ndukum
anastahili kuwa waziri wa wanawake, wajawazito na watoto
..huyu ni mwanasheria nguli, na ameshiriki kuandika kanuni za uendeshaji wa bunge la katiba.
..kwa mtizamo wangu huyu alistahili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa bunge letu la katiba.
cc Pasco
Anastahili kuwa waziri wa wanawake, wajawazito na watoto
Anastahili kuwa waziri wa wanawake, wajawazito na watoto
nani mwingine wa kutetea kundi hili?Anastahili kuwa waziri wa wanawake, wajawazito na watoto
Anastahili kuwa waziri wa wanawake, wajawazito na watoto
Kwa jinsi anavyojibu maswali kwenye bunge la katiba hakuna waziri yeyote wa ccm ambaye ana weredi mkubwa kama Lisu.
Kwa jinsi anavyojibu maswali kwenye bunge la katiba hakuna waziri yeyote wa ccm ambaye ana weredi mkubwa kama Lisu.
Kamvua nguo werema juu ya sheria ya awali haikua na kipengele cha replacement ya mjumbe wa kuteuliwa.Werema akainamisha kichwa
Lissu tena?
Huyu si mlidai si kichwa tena baada ya kubwagwa na Msando?
Anastahili kuwa waziri wa wanawake, wajawazito na watoto
Anastahili kuwa waziri wa wanawake, wajawazito na watoto
Ila mule bungeni kuna majamaa viazi kweli kama yule Ole medeye amejitutumua kuuliza swali ambalo jibu lake limo ktk kitabu alichogawiwa ili asome.kumbe JK alikuwa sahihi kumpokonya uwaziri.
Lissu ni jembe ila yale "mashetani" ya pale ufipa yanataka kumuharibu.Mbowe na Dr.Slaa please msituharibie Jembe letu bado anahitajika kulisaidia hili Taifa!!
Labda waziri wa wahuni na wapinga amani
Lissu tena?
Huyu si mlidai si kichwa tena baada ya kubwagwa na Msando?