We utakuwa unaabudu huko kwenye masanamu ndo maana unaleta habari za kuabudu milima na miti mikubwaUkishaamini hivyo ujue wewe una kasoro na yawezekana ukionja utabaka mpaka kuku au mtoto wako. Watu kabla ya hizi dini mila zetu zilikuwa zinafuata mfumo huu wa kulipa mahali kwa pombe na mifugo, kuzika kwa kunywa pombe na shughuli nyingine, mtoto akizaliwa ni pombe na sherehe. Dini haikuja kuvunja mila za watu na ndiyo maana ukiona dini inavunja mila zako hiyo ikimbie. Yesu basi si Yesu unayemwabudu maana angeanzisha amri zake. Amri kuu alitupa Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuongelea mambo ya pombe katu. Sigara na pombe kipi ni hatari kwa afya yako?
Kama dini inayokataza kula nguruwe lakini wakiwa na njaa wale wasishibe...Wakatoliki wanaruhusu unywe lakini usilewe
Unahakika na unachosema?Mi nadhani wakapimwe mkojo tu hamna namna nyingine. Eti ndio wa kuwaamini hawa na kuwaachia watoto wafundishwe nao, ni hatari sana.
Hii dini sio kabisa kila mkiambiwa hamuelewi oneni sasa hayo mambo. Mtaamka lini kutoka usingizini Jamani.
Mapadre nao wanafungisha ndoa za mashoga kwa kweli hii dini hii. Mmh.
Hatarious.
Dini ya haki ile ambayo kuna viongozi wake wanakula kitimoto kwa siri,
Nitakutag mkuu maana hata Mimi namsubiri aje kujitetea hapaAkikujibu unitag mkuu
Bia zinamchezo wa kukimbilia kiunoni. Sasa najiuliza zikifika katika hilo eneo, nani anayehusika na kuzitoa genye hizo zinazosababishwa na pombe..! [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umeona huyo alojaa udini yani shida sana... Wapo watu wanatumia kwa kiasi na wapo vzr... Madoctor wachache sana wasio tumia pombe na wanafanya vzr kazizao hilo hajuiUdin tu umekujaa yaan
Wapi huko mapadre wanafungisha ndoa mashoga?
For your information nimetembelea kila aina ya wanaoabudu, wabudddha, wahindu, wakristu nimefika mpaka Jelusarem ila sidanganyi sijafika Roma, nimetembelea kwenye Pyramids nimeona jinsi watu walivyokuwa wanaabudu na kuamini wakifa wanakwenda wapi hivyo mimi naamini kila mtu ana njia yake. Tuna hii karne tutakuwa na imani hizi mbili ukristu na uislam utatawala ila baada ya 1000 years hizi dini zinaweza zisiwepo ila dini za kale kama uhindu na ubuddha plus dini zetu za kimila kulingana na makabila zitadumu sababu ni imani katika mila na zina mizizi katika mila huwezi kuzifuta kwenye damu na vichwa vya wenye mila zao. Nenda ulaya uone jinsi makanisa yalivyogeuzwa mahoteli na masoko. Watu wanakesha kusubiri jua litoke kwenye stone hinge sababu ya imani za kale. Birmingham kuna kanisa limegeuzwa msikiti na bado misikiti siku moja itakuwa madangulo.We utakuwa unaabudu huko kwenye masanamu ndo maana unaleta habari za kuabudu milima na miti mikubwa
We ulitaka wanywee kodi afu Magufuli ndo ale sadaka sio?Mara paaaaaaaaaaap...
Sadaka za waumini zileeeeeeeee
πWakatoriki wanaruhusiwa na nini kunywa ila wasilewe? inaana wakatoriki wao wana Mungu wao, na biblia yao, waache usani huo ni uroho tu, hakuna ruhusa yoyote katika Biblia inayomruhusu mkatoriki kifanya vitu ambavyo wanadamu wengine wamekatazwa.
πππππππππππππππKunywa mvinyo kidogo usahau shida zako!
mh! mh! mh!Halafu Kuna watu wanaamini hao masista hawatiwi?
Ulewe halafu usitiwe?
Umeshasema madhehebu mengine. Labda hayo kwao ni haramu, sisi kwetu si haram. Mbona tunaona madhehebu nyingine zikianza mfungo wa ramadhani na kufungua tofauti na madhehebu nyingine ya dini hiyo hiyo? Wewe kama imani yako haikuruhusu kitu fulani kaa ni imani yako. Na mimi niache nikae na imani yangu. Wewe haikuhusu kama mimi imani yako isivyo nihusu. Cha msingi ujue ya kuwa RC pombe si haram. Kisu kinatumika kujiua/ kuua, kamba kujinyonga/kunyonga. Mbona hatulaani au kukataza matumizi ya vitu hivyo. Na wale ambao imani yao haiwaruhusu matumizi ya pombe niwape taadhali ya kutotumia dawa za kikohozi na kama mumetumia mjue mmekunywa pombe. Zimetengenezwa na pombe.Sasa kama havikatazi mbona madhehebu mengine hatuoni wakinywa pombe nyuma ya kanisa