Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
- Thread starter
- #61
hahahah mbona simple tu ebu fanya unipe namaba ya wife wako ili tujue tunaanzia wap
Kwa nini usiwasiliane na mme wake? Au unaleta utani wakat mtu yuko serious
hahahah mbona simple tu ebu fanya unipe namaba ya wife wako ili tujue tunaanzia wap
Kwa nini usiwasiliane na mme wake? Au unaleta utani wakat mtu yuko serious
Duh. Makubwa.---- wewe bongo hakuna fursa ni heri kuchambisha wazee
wewe mmewake hana shida mwenye shida ni mke wake ila mmewe kamsaidia kuto taarifa tu
Kupitia matangazo ya kazi yanayotolewa na kila states. Pia kupitia mitandao inayotangaza nafasi za kazi kwa kila states
Kuogesha wazee inalipa sana, kinacho angaliwa ni mpunga tu.
kuuliza si ujinga, nini maana ya kubeba box
Kwani watu hawawezi kuijenga nchi yao wakiwa ughaibuni?Nchi kama Philipines mbona almost 70% ya pato la taifa ni remittences zinazaotumwa waphilipino wanaofanya kazi nje ya nchi ya nchi?Africa Development Bank wanasema 2010 Waafrika waishio ughaibuni walituma zaidi ya $300 bilioni nyumban.......huko sii kujenga nchi?Jamaa naona anajifanya ana uchungu saana na nchi yake....Uchungu wa kukariri huu!We sema hivyo wakati wenzako wana akaunti Uswizi, nyumba london, mke brunei...! Stuka!! Wazo lako lingeweza kuwa na mashiko kama wote tungekuwa na mentality ya aina moja kuijenga Tanzania huru na yenye nguvu. Vinginevyo karagabao.
We sema hivyo wakati wenzako wana akaunti Uswizi, nyumba london, mke brunei...! Stuka!!
Wazo lako lingeweza kuwa na mashiko kama wote tungekuwa na mentality ya aina moja kuijenga Tanzania huru na yenye nguvu. Vinginevyo karagabao.[/QUO
naona haijui hii nchi huyu, we unajenga nchi wenzio wanabomoa, alaaaah, hata leo niko tayari kwenda kubeba box, hii nchi haina uzalendo tena na sio muda mrefu itakuwa ya kifalme
Aisee, washaurini watu vizuri maana naona watanzania wengi wanaishia kupangusa tu hapa USA. Well, state ninayokaa tupo watanzania zaidi ya 200 lakini wanaofanya kazi za professional tuko 3 tu wengine wote wanapangusa ------ ya wazee na mmoja aliyemaliza mambo ya computer hapa hapa marekani aliamua kurudi Tanzania baada ya kusumbuliwa sana na makaratasi (so waelezeni watu wajue vizuri kuwa kuna na suala la social security number, n.k. Nazidi kushauri kuwa msiwatie tamaa vijana wakaishia kujuta ingawa sikatai kujaribu bahati zao!! Karibuni sana wazawa. Infact, baadhi ya Watanzania hapa wanaelekea Canada na Austaralia so shaurini vizuri
On that note naongeza, Watanzania walio wengi hasa vijana waache mambo ya kufikiri ukiwa Alaska mambo ni msumari. Wazungu ni watu wabaguzi sana hata wale ambao ni rafiki zako wachunguze utawagundua, kitu cha muhimu soma Bongo kama nafasi ipo na ielewe fani yako vizuri, kama una bahati kuendelea chuo kikuu ni bomba pia lakini lazima ufahamu mazingara ya kikazi nje ya bongo ni tofauti na Tanzania. Professional jobs hususan Alaska zinalipa lakini kupata ni lazima uwe kipanga sio mbabaishaji. Pili Mwanzo mgumu pata kila details kama unataka kuja Alaska. Kama una ndugu au rafiki anayeweza kukusaidia mbinu ni vizuri zaidi. Mwanzo mgumu sana na ni lazima uwe na mpunga wa kutosha. Kama huna details za kutosha na fani ya kubabaisha baki bongo ujikusanye vizuri maisha ni popote pale.
Ndio inahusika na nn hii kazi?