Kazi hizi ni rahisi kupata Marekani

Kazi hizi ni rahisi kupata Marekani

Kuna faida na hasara zake kufanya kazi nje especially kama una ujuzi ambao unaweza kuutumia kutafuta maisha nyumbani.

Kwa hiyo vijana inabidi mfanye analysis kabla ya kuamua kujiripua msije mkakuta mnalipa kodi kubwa tu kwenye nchi zilizoendelea.
 
nikibeba box na kupangusa mi....ya wazee, pamoja kukatwa kodi + rent, je naweza ingiza dolla elfu 3000 kwa mwezi?......
 
Nitakuja kutembea tuu huko,bongo nshaipatia hii,hatoki mtu bongo hii hata kwa fimbo.
 
jamani ni vyema kuwa makini na nchi za watu
bora ujijenge kidogo kisha kama kwenda kule
uende kusafisha macho yako tu rafiki
 
We sema hivyo wakati wenzako wana akaunti Uswizi, nyumba london, mke brunei...! Stuka!! Wazo lako lingeweza kuwa na mashiko kama wote tungekuwa na mentality ya aina moja kuijenga Tanzania huru na yenye nguvu. Vinginevyo karagabao.
Kwani watu hawawezi kuijenga nchi yao wakiwa ughaibuni?Nchi kama Philipines mbona almost 70% ya pato la taifa ni remittences zinazaotumwa waphilipino wanaofanya kazi nje ya nchi ya nchi?Africa Development Bank wanasema 2010 Waafrika waishio ughaibuni walituma zaidi ya $300 bilioni nyumban.......huko sii kujenga nchi?Jamaa naona anajifanya ana uchungu saana na nchi yake....Uchungu wa kukariri huu!
 
We sema hivyo wakati wenzako wana akaunti Uswizi, nyumba london, mke brunei...! Stuka!!

Wazo lako lingeweza kuwa na mashiko kama wote tungekuwa na mentality ya aina moja kuijenga Tanzania huru na yenye nguvu. Vinginevyo karagabao.[/QUO
naona haijui hii nchi huyu, we unajenga nchi wenzio wanabomoa, alaaaah, hata leo niko tayari kwenda kubeba box, hii nchi haina uzalendo tena na sio muda mrefu itakuwa ya kifalme
 
Aisee, washaurini watu vizuri maana naona watanzania wengi wanaishia kupangusa tu hapa USA. Well, state ninayokaa tupo watanzania zaidi ya 200 lakini wanaofanya kazi za professional tuko 3 tu wengine wote wanapangusa ------ ya wazee na mmoja aliyemaliza mambo ya computer hapa hapa marekani aliamua kurudi Tanzania baada ya kusumbuliwa sana na makaratasi (so waelezeni watu wajue vizuri kuwa kuna na suala la social security number, n.k. Nazidi kushauri kuwa msiwatie tamaa vijana wakaishia kujuta ingawa sikatai kujaribu bahati zao!! Karibuni sana wazawa. Infact, baadhi ya Watanzania hapa wanaelekea Canada na Austaralia so shaurini vizuri

On that note naongeza, Watanzania walio wengi hasa vijana waache mambo ya kufikiri ukiwa Alaska mambo ni msumari. Wazungu ni watu wabaguzi sana hata wale ambao ni rafiki zako wachunguze utawagundua, kitu cha muhimu soma Bongo kama nafasi ipo na ielewe fani yako vizuri, kama una bahati kuendelea chuo kikuu ni bomba pia lakini lazima ufahamu mazingara ya kikazi nje ya bongo ni tofauti na Tanzania. Professional jobs hususan Alaska zinalipa lakini kupata ni lazima uwe kipanga sio mbabaishaji. Pili Mwanzo mgumu pata kila details kama unataka kuja Alaska. Kama una ndugu au rafiki anayeweza kukusaidia mbinu ni vizuri zaidi. Mwanzo mgumu sana na ni lazima uwe na mpunga wa kutosha. Kama huna details za kutosha na fani ya kubabaisha baki bongo ujikusanye vizuri maisha ni popote pale.
 
Tutajua hukohuko!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Money Stunna bado upo na hii thread mkuu?
Haya mimi ninataka kwenda USA ama Denmark kwa akina mkuu Copenhagen DN nikatafute maisha huko..
Tatizo ni jinsi ya kufika huko kwanza, gharama kubwa n.k n.k
Tumeshaongea mengi sana kwenye hii thread ila sijaona summarization ya jinsi ya kupata kazi na kusafiri hadi ufike
wakuu Kiranga, Nyani Ngabu na wengineo wote ambao mmeshatutangulia huko tupeni mwanga tunaohitaji nafasi za kuja kuyatafuta maisha kwa kubeba box na kufanya kazi zingine legal.

Nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom