Kazi hizi ni rahisi kupata Marekani

Kazi hizi ni rahisi kupata Marekani

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
Nimefanya utafiti kwa states zote za marekani nimegundua ukiwa deep understanding kwenye HTML, Javascript and CSS.
HTMLS

Graphic capabilities and photoshop.

Pia ukijua kutengeneza computer na kuweka software mbalimbali.

software developer

Kazi nyingine ni nursing.

Mkumbuke ata ukiwa na degree ya political science au business administration toka Tanzania utaishia kubeba boksi. Kulea watoto au wazee na kusafisha.

Nashauri kama unataka usibebe boksi ukija marekani usomee kwanza hivo vitu vya kutengeneza computer na kuweka software pia website ata photoshop.

Sababu degrees ya political science. Education au business adm haitokusaidia labda uongeze kusoma masters.

Ongeza hizo knowledge utafanikiwa kama una malengo ya kuja America na ulaya.

Watu wa hizo fani wanahitajika sana kila states.

Kazi kwenu
 
kwa ufupi kazi ambazo zinatafuta watu kwa sasa marekani ni "software developer" aka programmer aka coder aka hackers (sio wale wa kuingilia mifumo ya mawasiliano na computer). We ukiwa vizuri hayo masuala tafuta visa fasta, ila uwe vizuri sana.
 
Aisee, washaurini watu vizuri maana naona watanzania wengi wanaishia kupangusa tu hapa USA. Well, state ninayokaa tupo watanzania zaidi ya 200 lakini wanaofanya kazi za professional tuko 3 tu wengine wote wanapangusa ------ ya wazee na mmoja aliyemaliza mambo ya computer hapa hapa marekani aliamua kurudi Tanzania baada ya kusumbuliwa sana na makaratasi (so waelezeni watu wajue vizuri kuwa kuna na suala la social security number, n.k. Nazidi kushauri kuwa msiwatie tamaa vijana wakaishia kujuta ingawa sikatai kujaribu bahati zao!! Karibuni sana wazawa. Infact, baadhi ya Watanzania hapa wanaelekea Canada na Austaralia so shaurini vizuri
 
Nimefanya utafiti kwa states zote za marekani nimegundua ukiwa deep understanding kwenye HTML, Javascript and CSS.
HTMLS

Graphic capabilities and photoshop.

Pia ukijua kutengeneza computer na kuweka software mbalimbali.

software developer

Kazi nyingine ni nursing.

Mkumbuke ata ukiwa na degree ya political science au business administration toka Tanzania utaishia kubeba boksi. Kulea watoto au wazee na kusafisha.

Nashauri kama unataka usibebe boksi ukija marekani usomee kwanza hivo vitu vya kutengeneza computer na kuweka software pia website ata photoshop.

Sababu degrees ya political science. Education au business adm haitokusaidia labda uongeze kusoma masters.

Ongeza hizo knowledge utafanikiwa kama una malengo ya kuja America na ulaya.

Watu wa hizo fani wanahitajika sana kila states.

Kazi kwenu
mkuu mi nataka sponsor kwa masomo yangu ya degree nipata ?
 
Mi nakomaa hapa hapa Bongo, fursa zipo za kutosha, Nikija State labda kumsalimia Money Stunna.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huu upuuzi utaisha lini wa kuiona Marekani ka Mbingu? Hapo Marekani kuna nini la zaidi? Vijana wenzangu, tuijengeni Tanzania yetu. Wale mtafutao fursa za kwenda ughaibuni, jueni kuwa mna majukumu ya kuiendeleza Tanzania. Nendeni huko mkasome, kazi kazifanyieni nchini kwetu ili nasi tusonge mbele. Kama wewe ni IT specialist, badala ya kukimbilia Marekani, tafuta namna ya kuiendeleza teknolojia nchini kwetu. Kama wewe ni nesi, tafuta namna ya kutoa mchango wako kuwahudumia mama zetu wanaokufa kila siku. Tuipendeni nchi yetu!
 
swahiba Money Stunna nafikiria kuja state kufungua ka studio ka kupiga na ku print vipicha vya mnato kama passport size nk.nina uzoefu mkubwa ktk software za photo editing/photo retouching.nipe uzoefu wako mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huu upuuzi utaisha lini wa kuiona Marekani ka Mbingu? Hapo Marekani kuna nini la zaidi? Vijana wenzangu, tuijengeni Tanzania yetu. Wale mtafutao fursa za kwenda ughaibuni, jueni kuwa mna majukumu ya kuiendeleza Tanzania. Nendeni huko mkasome, kazi kazifanyieni nchini kwetu ili nasi tusonge mbele. Kama wewe ni IT specialist, badala ya kukimbilia Marekani, tafuta namna ya kuiendeleza teknolojia nchini kwetu. Kama wewe ni nesi, tafuta namna ya kutoa mchango wako kuwahudumia mama zetu wanaokufa kila siku. Tuipendeni nchi yetu!

We sema hivyo wakati wenzako wana akaunti Uswizi, nyumba london, mke brunei...! Stuka!!

Wazo lako lingeweza kuwa na mashiko kama wote tungekuwa na mentality ya aina moja kuijenga Tanzania huru na yenye nguvu. Vinginevyo karagabao.
 
we unachekesha kweli,uijenge tz kwa kipi,ikiwa wameshindwa kuijenga toka 61,viongoi wenyewe wanakimbilia huko,we pigania maisha yako,mambo ya kuijenga tz achana nayo kabisa,labda nikwambie ni mfumo wa nchi za kiafrika.
 
We sema hivyo wakati wenzako wana akaunti Uswizi, nyumba london, mke brunei...! Stuka!!

Wazo lako lingeweza kuwa na mashiko kama wote tungekuwa na mentality ya aina moja kuijenga Tanzania huru na yenye nguvu. Vinginevyo karagabao.
Red: kosa vyote... mwaga mchakato wa idara hiyo unavofanikishshwa...tasavali...
 
Hivi huu upuuzi utaisha lini wa kuiona Marekani ka Mbingu? Hapo Marekani kuna nini la zaidi? Vijana wenzangu, tuijengeni Tanzania yetu. Wale mtafutao fursa za kwenda ughaibuni, jueni kuwa mna majukumu ya kuiendeleza Tanzania. Nendeni huko mkasome, kazi kazifanyieni nchini kwetu ili nasi tusonge mbele. Kama wewe ni IT specialist, badala ya kukimbilia Marekani, tafuta namna ya kuiendeleza teknolojia nchini kwetu. Kama wewe ni nesi, tafuta namna ya kutoa mchango wako kuwahudumia mama zetu wanaokufa kila siku. Tuipendeni nchi yetu!

---- wewe bongo hakuna fursa ni heri kuchambisha wazee
 
Hivi huu upuuzi utaisha lini wa kuiona Marekani ka Mbingu? Hapo Marekani kuna nini la zaidi? Vijana wenzangu, tuijengeni Tanzania yetu. Wale mtafutao fursa za kwenda ughaibuni, jueni kuwa mna majukumu ya kuiendeleza Tanzania. Nendeni huko mkasome, kazi kazifanyieni nchini kwetu ili nasi tusonge mbele. Kama wewe ni IT specialist, badala ya kukimbilia Marekani, tafuta namna ya kuiendeleza teknolojia nchini kwetu. Kama wewe ni nesi, tafuta namna ya kutoa mchango wako kuwahudumia mama zetu wanaokufa kila siku. Tuipendeni nchi yetu!

acha waende.mbona wao wamarekani,wachina,wahindi n.k wamakuja tz?
 
Back
Top Bottom