Kazi hizi ni rahisi kupata Marekani

Kazi hizi ni rahisi kupata Marekani

We sema hivyo wakati wenzako wana akaunti Uswizi, nyumba london, mke brunei...! Stuka!!

Wazo lako lingeweza kuwa na mashiko kama wote tungekuwa na mentality ya aina moja kuijenga Tanzania huru na yenye nguvu. Vinginevyo karagabao.

mkuu, umeniwahi nami nilikuwa nataka kusema hivi
 
Nimefanya utafiti kwa states zote za marekani nimegundua ukiwa deep understanding kwenye HTML, Javascript and CSS.
HTMLS

Graphic capabilities and photoshop.

Pia ukijua kutengeneza computer na kuweka software mbalimbali.

software developer

Kazi nyingine ni nursing.

Mkumbuke ata ukiwa na degree ya political science au business administration toka Tanzania utaishia kubeba boksi. Kulea watoto au wazee na kusafisha.

Nashauri kama unataka usibebe boksi ukija marekani usomee kwanza hivo vitu vya kutengeneza computer na kuweka software pia website ata photoshop.

Sababu degrees ya political science. Education au business adm haitokusaidia labda uongeze kusoma masters.

Ongeza hizo knowledge utafanikiwa kama una malengo ya kuja America na ulaya.

Watu wa hizo fani wanahitajika sana kila states.

Kazi kwenu

Mentality za kitumwa!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nimefanya utafiti kwa states zote za marekani
Mkuu kwa hiyo utafiti wako uliufanyaje? Ulienda states zote 50 including Hawaii, ama uliwezaje kupata field data ya hizo states zote na kupelekea ku-conclude hivyo?
I'm just curious, mkuu
 
Hivi huu upuuzi utaisha lini wa kuiona Marekani ka Mbingu? Hapo Marekani kuna nini la zaidi? Vijana wenzangu, tuijengeni Tanzania yetu. Wale mtafutao fursa za kwenda ughaibuni, jueni kuwa mna majukumu ya kuiendeleza Tanzania. Nendeni huko mkasome, kazi kazifanyieni nchini kwetu ili nasi tusonge mbele. Kama wewe ni IT specialist, badala ya kukimbilia Marekani, tafuta namna ya kuiendeleza teknolojia nchini kwetu. Kama wewe ni nesi, tafuta namna ya kutoa mchango wako kuwahudumia mama zetu wanaokufa kila siku. Tuipendeni nchi yetu!

Mkuu una wazo zuri!! Lakini unadhani ni wangapi wanamaliza vyuo hasa kwenye fileds za IT na wangapi wanaajiriwa?? Unasema wakae bongo waendeleze tech je unajua wangapi wanajitahidi lakin serikali iko kama haiwaoni??

Je kwa mtindo huo unadhan hata ningekua mimi ningekaa hapa?? Kuna watu kama Transistor ambao kama wakiendelezwa ni hadhina nzuri sana kwenye mambo ya sayansi!!!

Nikwambie ukweli tu Tanzania inatumia mabilioni ya pesa kusomesha watu lakini wengi wanatoswa!! Cheki tenda za ujenzi na projects kubwa zilizofanywa bongo!! Ni ngapi wamepewa watz na ngapi wanapewa wa china??? Amka mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
Achana na Marekani kaka huko ni mbingu nyingine,hata maraisi wetu kutoka Afrika hufunga safari kwenda huko kila kuchwao unadhani ni wajinga

kwani bush,obama,clinton waliokuza tz ni wajinga?. 'kama ni msomaji soma acres of diamond-russel'
 
acha umbeya. . .norway wanaongea kingereza toka lini?

wala husimwite mwenzako mumbea, hakuna nchi ulaya ambayo haina watu wanaoomgea kiingereza. Mitaa niliyokuwa mwezi uliopita kiingereza ni lugha ya kawaida
 
Mkuu ni kweli nasikia nursing inalipa Marekani na hata Australia, ila nafasi zao za kazi hatuna access nazo, unaweza kutupahuo mchongo
 
Nina wasiwasi.. Na maelezo yako. Umefanya utafiti states zote za marekani? Duuh? Can you tell me who funded your research? Na tunaompa utuwekee hapa matokeo ya utafiti wako hapa.
 
Mkuu kwa hiyo utafiti wako uliufanyaje? Ulienda states zote 50 including Hawaii, ama uliwezaje kupata field data ya hizo states zote na kupelekea ku-conclude hivyo?
I'm just curious, mkuu

Kupitia matangazo ya kazi yanayotolewa na kila states. Pia kupitia mitandao inayotangaza nafasi za kazi kwa kila states
 
Wife amekuwa akitafuta kwa udi na uvumba kazi ya nursing Marekani, je tutafnyeje?
 
mkuu utaratibu wake hadi kwenda usa unakuaje?gharama ya nauli,kupata visa,na vinginevyo vya muhimu,
 
Back
Top Bottom