Kazi hizi ni rahisi kupata Marekani

Kazi hizi ni rahisi kupata Marekani

acha waende.mbona wao wamarekani,wachina,wahindi n.k wamakuja tz?

Achana na Marekani kaka huko ni mbingu nyingine,hata maraisi wetu kutoka Afrika hufunga safari kwenda huko kila kuchwao unadhani ni wajinga
 
Kiongozi hebu nipe mchingo, mie nafanya graphics na niko vizuuri tu, je naweza penyaje kuja huko?
 
Red: kosa vyote... mwaga mchakato wa idara hiyo unavofanikishshwa...tasavali...

Hata hueleweki dogo, mawazo yako mafupi kama maisha ya funza. Na hii ni inasawiri idadi kubwa ya Watanzania waonao kwa macho na sio kwa akili. Stuka dogo!!
 
mkuu Money Stunna

napenda nikupongeze kwa kupost vitu vya kujenga kama hivi huu ndio unaume halisi uungwana ni vitendo hapa nakusifu kwakweli si kama kule unakopostigi habari za vyupi vya akina dada.. hongera sana.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Money Stunna

napenda nikupongeze kwa kupost vitu vya kujenga kama hivi huu ndio unaume halisi uungwana ni vitendo hapa nakusifu kwakweli si kama kule unakopostigi habari za vyupi vya akina dada.. hongera sana.

Asante mkuu,pamoja
 
mkuu kukaa huko sio kwamba ndio unajua kila kitu kuweza kutoa ushauri kwa kila mtu kila wakati , wakati mwingine jaribu kufanya uchunguzi wa kipi cha kuzungumzia badala ya kupost vitu kila siku tujue unaishi marekani..kama hili la public administration na political science, ndio kigezo cha kupost pasi wamekusikia wanaopenda mada zako zisizoeleweka..haya tumejua wewe ni mzungu na uko marekani tunashukuru
 
mkuu kukaa huko sio kwamba ndio unajua kila kitu kuweza kutoa ushauri kwa kila mtu kila wakati , wakati mwingine jaribu kufanya uchunguzi wa kipi cha kuzungumzia badala ya kupost vitu kila siku tujue unaishi marekani..kama hili la public administration na political science, ndio kigezo cha kupost pasi wamekusikia wanaopenda mada zako zisizoeleweka..haya tumejua wewe ni mzungu na uko marekani tunashukuru

Kama mada imekuuzi pole ila sitoacha kuelimisha kwa kile ninachoona ni sahihi.

Hivo siwezi katishwa tamaa na maneno hayo mim nazungumza kulingana na utafiti na nafasi nying za kazi zinazotolewa.

Pole kama umeuzika na mada sina la kukusaidia zaidi
 
US nitaenda kama mtalii,ngoja niendelee kUtengeneza hela angalua account isome 100,000 USD
 
Aisee, washaurini watu vizuri maana naona watanzania wengi wanaishia kupangusa tu hapa USA. Well, state ninayokaa tupo watanzania zaidi ya 200 lakini wanaofanya kazi za professional tuko 3 tu wengine wote wanapangusa ------ ya wazee na mmoja aliyemaliza mambo ya computer hapa hapa marekani aliamua kurudi Tanzania baada ya kusumbuliwa sana na makaratasi (so waelezeni watu wajue vizuri kuwa kuna na suala la social security number, n.k. Nazidi kushauri kuwa msiwatie tamaa vijana wakaishia kujuta ingawa sikatai kujaribu bahati zao!! Karibuni sana wazawa. Infact, baadhi ya Watanzania hapa wanaelekea Canada na Austaralia so shaurini vizuri

Hapo Umesema kitu cha msingi sana mkuu, Watu wanakaririiii
 
Nimefanya utafiti kwa states zote za marekani nimegundua ukiwa deep understanding kwenye HTML, Javascript and CSS.
HTMLS

Graphic capabilities and photoshop.

Pia ukijua kutengeneza computer na kuweka software mbalimbali.

software developer

Kazi nyingine ni nursing.

Mkumbuke ata ukiwa na degree ya political science au business administration toka Tanzania utaishia kubeba boksi. Kulea watoto au wazee na kusafisha.

Nashauri kama unataka usibebe boksi ukija marekani usomee kwanza hivo vitu vya kutengeneza computer na kuweka software pia website ata photoshop.

Sababu degrees ya political science. Education au business adm haitokusaidia labda uongeze kusoma masters.

Ongeza hizo knowledge utafanikiwa kama una malengo ya kuja America na ulaya.

Watu wa hizo fani wanahitajika sana kila states.

Kazi kwenu

asante kwa taarifa mkuu. nadhani wadau mnaotarajia kuzamia ulaya na marekani mmepata clue. ukienda kichwakichwa, imekula kwako--utaogesha vizee sana
 
Nadhani umesema vizuri lakini si sahihi. KWenda marekani si kosa maana hata wao wanakuja kunyemelea mali zetu huku vinginevyo kama kwenda nchi za nje si uzalendo usingeona raia wengi wa kigeni hapa. Hizo fursa zinazozungumzwa kwenye majukwaa na wanasiasa kwamba vijana wajiajiri wakati wao wenyewe wameajiriwa ndiyo upuuzi. Fursa zikiwepo bila watu kuwezeshwa na serikali ni sawa na kutokuwepo kwa fursa hizo. Wacha watu waende nchi za mbali wakatafute maisha si lazima utumie fursa za nchi yako.
 
Utashi huwa haufanani ila kila mtu anaweza kuzungumzia mazingira anazoishi' lakini tunayajua mazingira ya wengine kutokana na kusema kwao' hii ndio maana ya forums
 
jajibu swali yakhe...

"Mkeshahoi" naona hata username yako inajizungumza yawezekana huko hoi baada ya kukesha usiku mzima. Nimekosa hata munkari wa kuargue na mkeshahoi na kazi nzito za ulinzi. Bye bye!!
 
Back
Top Bottom