Jeceel
JF-Expert Member
- Feb 6, 2018
- 1,476
- 3,075
BunjuMkuu, unaishi wapi kwanza...
BunjuMkuu, unaishi wapi kwanza...
kumbe kajiajiri tayari,nilijua ni muajiriwa ofisi flani..
kama kajiajiri basi aseme ni biashara gani anayofanya au aliojiajiri nayo kisha tumshauri biashara ya kufanya ndani ya biashara yake hiyo hiyo.
huwezi mshauri muuza mkaa au pumba za kuku auze chakula hapo hapo ofisini HAIWEZEKANI lazima ushauri ataopewa uendane au ukaribiane na biashara hiyo hiyo anayoifanya sasa hivi.
Ni wakala wa mitandao ya simuAkikujibu naomba unitag
wakala wa mitandao ya simu! Anakaaa kazini masaa 10 - 11 kisha anafunga na ofisi ni yake kajiajiri Muulize yuko serious na biashara kweli?Ni wakala wa mitandao ya simu
Hapana anafungua saa moja asubuhi anafunga ofisi saa mbili usiku, sasa anataka ajiongeze kidogo angalau kwa siku asikose elf tano ya pembeniwakala wa mitandao ya simu! Anakaaa kazini masaa 10 - 11 kisha anafunga na ofisi ni yake kajiajiri Muulize yuko serious na biashara kweli?
Mfate mwambia controla kakuuliza eti uko serious na biashara? anafungua ofisi kwa masaa 10-11 kweli jamani?! Asee mimi simshauri hata biashara ingine ya kufanya mwambie NIMEGOMA kutoa mawazo yangu.
yani mtu unafungua ofisi saa 1 unafunga saa 11 jioni,halafu unasema unatafuta biashara ingine ya kufanya uongeze kipato,Biashara ingine ipi utakayoiweza wewe kama mchana tu kwenye MWANGA wa sir GOD unashndwa kukaza,unataka biashara za kuanzia 11 jioni..Huwezi na hatoweza.
ana tofauti gani sasa na mtu kajifungia ndani anasema hajala siku nzima halafu kwenye friji ana viporo vya wali,pilau,mboga za majani,nk halafu analalamika njaa inamuuma,ana tofauti gani na huyo mtu sasa huyo shosti ako?!
sipendi watu wasio na bidii ktk kutafuta maisha mimi basi tu.
Mzee Controla Mimi Sijakuelewa bado Labda utupe ufafanuzi, Sasa kosa lake liko Wapi kufungua saa 1 mpaka 11/12wakala wa mitandao ya simu! Anakaaa kazini masaa 10 - 11 kisha anafunga na ofisi ni yake kajiajiri Muulize yuko serious na biashara kweli?
Mfate mwambia controla kakuuliza eti uko serious na biashara? anafungua ofisi kwa masaa 10-11 kweli jamani?! Asee mimi simshauri hata biashara ingine ya kufanya mwambie NIMEGOMA kutoa mawazo yangu.
yani mtu unafungua ofisi saa 1 unafunga saa 11 jioni,halafu unasema unatafuta biashara ingine ya kufanya uongeze kipato,Biashara ingine ipi utakayoiweza wewe kama mchana tu kwenye MWANGA wa sir GOD unashndwa kukaza,unataka biashara za kuanzia 11 jioni..Huwezi na hatoweza.
ana tofauti gani sasa na mtu kajifungia ndani anasema hajala siku nzima halafu kwenye friji ana viporo vya wali,pilau,mboga za majani,nk halafu analalamika njaa inamuuma,ana tofauti gani na huyo mtu sasa huyo shosti ako?!
sipendi watu wasio na bidii ktk kutafuta maisha mimi basi tu.
kufunga saa 11....Mzee Controla Mimi Sijakuelewa bado Labda utupe ufafanuzi, Sasa kosa lake liko Wapi kufungua saa 1 mpaka 11/12
kubeti mkuu, kama nimfuatilijia mzuri wa kandandaHallo wakuu, nna shost yangu wa ukweli kaniomba ushauri huu hapa chini,
Yeye kazi yake anayofanya haimbani sanaa na anakaa ofisini kwa muda wa masaa Kumi hadi kumi na Moja kila siku. Sasa anatafuta shughuli ya kumwingizia kipato anayoweza kufanya akiwa hapo hapo ofsini kwake. Nikaona bora nije huku kwenye wazoefu mbali mbali na wa fani tofauti tofauti nimpatie ushauri wenu.
Asante
akifungua saa 7:00am - 8:00pm ni masaa 14Hapana anafungua saa moja asubuh anafunga ofisi saa mbili usiku, sasa anataka ajiongeze kidogo angalau kwa siku asikose elf tano ya pembeni
Kwa hiyo bushmamy hana details za kutoshaakifungua saa 7:00am - 8:00pm ni masaa 14
wewe umesema muda wake wakukaa ofisini ni masaa 10 - 11 ina maana akifunga saa 10 = (masaa 10) akifunga 11 (masaa 11) akifunga saa mbili usiku (masaa 14).
linajidhihirisha wazi waziKwa hiyo bushmamy hana details za kutosha
Inawezekana hio biashara anaifanya yeye mwenyewe au mtu wake wa karibu ndio maana hataki kuwa muwazilinajidhihirisha wazi wazi
Zipo kazi nyingi anazo weza kufanya kwa kuzingatia uwezo na fursa zinazomzunguka.Iwapo yupo seriou basi anaweza kunipigia kwa simu namba 0710323060.Kuna uwezekano akapata jambo Jipya.Hallo wakuu, nna shost yangu wa ukweli kaniomba ushauri huu hapa chini,
Yeye kazi yake anayofanya haimbani sanaa na anakaa ofisini kwa muda wa masaa Kumi hadi kumi na Moja kila siku. Sasa anatafuta shughuli ya kumwingizia kipato anayoweza kufanya akiwa hapo hapo ofsini kwake. Nikaona bora nije huku kwenye wazoefu mbali mbali na wa fani tofauti tofauti nimpatie ushauri wenu.
Asante
hilo nimeshaliona mapema sana,mimi ndio mana nawambiaga watu wafungue ID mbili mbili ukiwa na ID 1 unakua unashndwa weka mambo ktk hali ya ukweli basi unajikuta unajikanyaga mwenyewe.Inawezekana hio biashara anaifanya yeye mwenyewe au mtu wake wa karibu ndio maana hataki kuwa muwazi
hilo nimeshaliona mapema sana,mimi ndio mana nawambiaga watu wafungue ID mbili mbili ukiwa na ID 1 unakua unashndwa weka mambo ktk hali ya ukweli basi unajikuta unajikanyaga mwenyewe.
Hapana Mkuu, sifanyi hiyo shughuli, mi nimeajiriwa kwenye ofisi ya mtu na pia ni mfugaji wa kuku wa nyamaInawezekana hio biashara anaifanya yeye mwenyewe au mtu wake wa karibu ndio maana hataki kuwa muwazi
Biashara ya kukopesha sio biashara. Unless uuze cash kwa watu 4 then ukopeshe 1. Otherwise ni maumivu tuajaribu kuuza vitu vya wadada kwa mkopo wa mwezi. vitu kama mapochi, vitenge, viatu nk. binafsi nilifanya ila nikaacha mwaka jana wengine maofisini wagumu kulipa inataka kukomaa.
Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ni mke wa mtu anatakiwa awahi kurudi nyumbani? Je kama ana mgonjwa au watoto wadogo? Don't be so judgemental when u don't know the real story. Hayo masaa yanatosha kabisa kupata riziki kama ipo.wakala wa mitandao ya simu! Anakaaa kazini masaa 10 - 11 kisha anafunga na ofisi ni yake kajiajiri Muulize yuko serious na biashara kweli?
Mfate mwambia controla kakuuliza eti uko serious na biashara? anafungua ofisi kwa masaa 10-11 kweli jamani?! Asee mimi simshauri hata biashara ingine ya kufanya mwambie NIMEGOMA kutoa mawazo yangu.
yani mtu unafungua ofisi saa 1 unafunga saa 11 jioni,halafu unasema unatafuta biashara ingine ya kufanya uongeze kipato,Biashara ingine ipi utakayoiweza wewe kama mchana tu kwenye MWANGA wa sir GOD unashndwa kukaza,unataka biashara za kuanzia 11 jioni..Huwezi na hatoweza.
ana tofauti gani sasa na mtu kajifungia ndani anasema hajala siku nzima halafu kwenye friji ana viporo vya wali,pilau,mboga za majani,nk halafu analalamika njaa inamuuma,ana tofauti gani na huyo mtu sasa huyo shosti ako?!
sipendi watu wasio na bidii ktk kutafuta maisha mimi basi tu.
Hawezi saidiwa kama hayupo waziInawezekana hio biashara anaifanya yeye mwenyewe au mtu wake wa karibu ndio maana hataki kuwa muwazi
Kwa nini niweke hapa?Kwanini usiweke hapa?