Kazi gani ya kufanya ndani ya kazi nyingine

Ni wakala wa mitandao ya simu
Hapo alipo, anaweza weka kimeza cha matunda mbalimbali ama hata atazame namna ya kuweka kimeza cha bites kama muhongo na viazi vya kukaanga.

Kwenye hizo bites asiweke kachumbari wala sahani za kukulia, bali aweke foils kama vifungashio, ukwaju wakumimina, chumvi na pilipili ya unga.
 
Yaani ana vitu vitatu ambavyo ninatamani niwe navyo kwa Pamoja.
1)Flow ya pesa
2)Muda wa kutosha (kutokana na nature ya Biashara)
3)Utulivu wa akiri

Simshauri afanye nini ila kuwa na vitu hivyo vitatu kwa wakati mmoja karne hii ya 21 una nafasi kubwa umebarikiwa sana.

Kwa upande wangu ningehakikisha nina PC yangu nzuri hiko kibanda cha Tigopesa ningekigeuza Hub akija mteja nahudumia nikiwa sina mteja mimi nasema na PC.
 
Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ni mke wa mtu anatakiwa awahi kurudi nyumbani? Je kama ana mgonjwa au watoto wadogo? Don't be so judgemental when u don't know the real story. Hayo masaa yanatosha kabisa kupata riziki kama ipo.

Anyways kama ataweza aweke friji auze vinywaji hapo, au aweke computer awe ana burn movie, series,music etc... muhimu aangalie eneo alipo na uhitaji wa watu wa hapo
Nani kafoka,maandishi siku hizi yana tone kwani?
 
Yaani ana vitu vitatu ambavyo ninatamani niwe navyo kwa Pamoja.
1)Flow ya pesa
2)Muda wa kutosha (kutokana na nature ya Biashara)
3)Utulivu wa akiri

Simshauri afanye nini ila kuwa na vitu hivyo vitatu kwa wakati mmoja karne hii ya 21 una nafasi kubwa umebarikiwa sana.

Kwa upande wangu ningehakikisha nina PC yangu nzuri hiko kibanda cha Tigopesa ningekigeuza Hub akija mteja nahudumia nikiwa sina mteja mimi nasema na PC.
Hub ni kitu gani mkuu
 
Ila sawa ushauri ni mwingi vipi tukupe na nyongeza?..kwani una pakubebea? Mwambie aongeze customer care hapo alipo. Mimi ni hayo tu kwa leo
 
Ni wazo zuri ijapo hiyo sehemu alipo migahawa pia ipo, na pia ni sehemu zenye maduka ya jumla na reja reja
Auze basi dagaa wa Mwanza, awapaki vizuri aweke tangawizi, chumvi kidogo afanyie package nzuri apeleke supermarket
 
ajaribu kuuza vitu vya wadada kwa mkopo wa mwezi. vitu kama mapochi, vitenge, viatu nk. binafsi nilifanya ila nikaacha mwaka jana wengine maofisini wagumu kulipa inataka kukomaa.
Msifanye biashara za kukopesha.. Kuna watu wakishika pesa hata alichokopa hakumbuki tena kukilipa
 
kumbe kajiajiri tayari,nilijua ni muajiriwa ofisi flani..

kama kajiajiri basi aseme ni biashara gani anayofanya au aliojiajiri nayo kisha tumshauri biashara ya kufanya ndani ya biashara yake hiyo hiyo.

huwezi mshauri muuza mkaa au pumba za kuku auze chakula hapo hapo ofisini HAIWEZEKANI lazima ushauri ataopewa uendane au ukaribiane na biashara hiyo hiyo anayoifanya sasa hivi.
Ehhhh mzee una faini ya kulipa mzee baba
 
Hivi huyu mdau CONTROLA kuna uzi nilifungua juu ya kufungua kampunj ya kusafirisha unga to UK jamaa akazingua hakutoa wazo lake madini yake, na ninamjua ana madini mazuri sana, ngoja aje hapa nimlime faini
Mkuu naukumbuka ule uzi na ninakumbuka kila kitu ila kama unakumbuka nilisema jibu la swali lako sio fupi nikasema nitafungua thread kwasababu

si wewe tu unaetafa fanya viile nikawa nimesema nifungue thread kisha ndani ya thread nijibu swali lako kwa undani na zaidi niweke na vingine ambavyo hata

hukua unavijua (mbinu/maujanja ya ku surrvive/nk) sio kwamba nilikaa kimya makusudi mkuu,hata thread huwa nafungua nikiwa free kbsa kbsa na akili ipo

ktk hilo jambo ndio mana nakua natoa vitu vingi,yani mimi ukiona nimefungua thread naongelea kitu ujue (jana au leo) nimetoka kifanya hicho kitu ktk uhalisia

ukiona naongelea mbinu za kufanya biashara flani ujue nipo nafanya hicho kitu siwezi ongelea biashara ambayo siifanyi,mbinu ambayo siifanyi,chochote ambacho

sijawahi waza hata kukifanya eti nafungua thread au nina njaa sijala siku mbili Halafu nafungua thread nafundisha watu jinsi ya kuishinda Njaa hapana sipo hivyo mkuu wangu hiyo FAINI naomba ipige STOP kdg kwasababu siku nitakapo fungua thread khs

lile swala utaelewa hata ni kwann nilikua kimya muda mrefu,la mwisho mkuu unapofungua thread au simulia kitu basi ni lazima UWE NA TAARIFA ZOTE muhimu

kisha ndio unakuja simulia au andika ukiwa na uhakika na unachokiandika hivyo mkuu tuvumiliane tu mkuu wangu Siwezi ficha kizuri kilicho ndani yangu hata siku 1

kama kipo nitakitoa tu kila mtu akipate maana ktk watu siogopi wapa fursa ni WABONGO siogopi hata kidogo kumwambiia MTANZANIA nimepita njia flani nimeona PESA KWENYE BOX

sema kesho nataka nikazifate,najua mtanzania ni mtu wa dharau na kupuuza,Hiyo ndio sababu nikiwa namwaga mchele humu JF naumwaga mzima mzima maana najua walaji ni wachache

wengi husoma na kuyaacha humu humu kwahyo sijakusahau chief,ahadi ni deni na lazima nilipe hilo Deni.
 
Well said brother,
Kwa ufupi nimekuelewa sana haya maelezo yanajitosheleza,

Uzi utakaoandaa ni tag kabisa mkuu nisipitwe, pia nilikutumia ujumbe PM maana ni jambo nipo mbioni kulifanya na nimeanza kukusanya taarifa mbalimbali juu ya biashara yangu,

Sasa kwa kuwa utafungua uzi ngoja ni ngoje, nitakachofanya nikuletea maswali kama hints pm ambayo ukiandaa uzi utapita nao mule mule, ngoja tuachie hapa tunawachosha watu na kelele zetu, ahsante mzee baba
 
Mkuu naukumbuka ule uzi na ninakumbuka kila kitu ila kama unakumbuka nilisema jibu la swali lako sio fupi nikasema nitafungua thread kwasababu

si wewe tu unaetafa fanya viile nikawa nimesema nifungue thread kisha ndani ya thread nijibu swali lako kwa undani na zaidi niweke na vingine ambavyo hata

hukua unavijua (mbinu/maujanja ya ku surrvive/nk) sio kwamba nilikaa kimya makusudi mkuu,hata thread huwa nafungua nikiwa free kbsa kbsa na akili ipo

ktk hilo jambo ndio mana nakua natoa vitu vingi,yani mimi ukiona nimefungua thread naongelea kitu ujue (jana au leo) nimetoka kifanya hicho kitu ktk uhalisia

ukiona naongelea mbinu za kufanya biashara flani ujue nipo nafanya hicho kitu siwezi ongelea biashara ambayo siifanyi,mbinu ambayo siifanyi,chochote ambacho

sijawahi waza hata kukifanya eti nafungua thread au nina njaa sijala siku mbili Halafu nafungua thread nafundisha watu jinsi ya kuishinda Njaa hapana sipo hivyo mkuu wangu hiyo FAINI naomba ipige STOP kdg kwasababu siku nitakapo fungua thread khs

lile swala utaelewa hata ni kwann nilikua kimya muda mrefu,la mwisho mkuu unapofungua thread au simulia kitu basi ni lazima UWE NA TAARIFA ZOTE muhimu

kisha ndio unakuja simulia au andika ukiwa na uhakika na unachokiandika hivyo mkuu tuvumiliane tu mkuu wangu Siwezi ficha kizuri kilicho ndani yangu hata siku 1

kama kipo nitakitoa tu kila mtu akipate maana ktk watu siogopi wapa fursa ni WABONGO siogopi hata kidogo kumwambiia MTANZANIA nimepita njia flani nimeona PESA KWENYE BOX

sema kesho nataka nikazifate,najua mtanzania ni mtu wa dharau na kupuuza,Hiyo ndio sababu nikiwa namwaga mchele humu JF naumwaga mzima mzima maana najua walaji ni wachache

wengi husoma na kuyaacha humu humu kwahyo sijakusahau chief,ahadi ni deni na lazima nilipe hilo Deni.
Wakati tunasubiria maelezo ya kwenye huo uzi, kuna maswali nimekutumia pm nicheki tafadhali msaada
 
Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ni mke wa mtu anatakiwa awahi kurudi nyumbani?

Hawezi biashara kabisaa kama ndio anatakiwa kumuwahi mume nyumbani,Yani HAWEZI KABISA.

Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ana mgonjwa?

Yani hapo ndio kabisaaaa hawezi kufanya Biashara nyngine,Yani hawezi kabisaaaa

Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ana watoto wadogo?

Eh BABA ulie juu yani hii ndio kabisaaaa hawezi kufanya biashara ingine

Don't be so judgemental when u don't know the real story

The REAL STORY is anafanya biashara ya uwakala wa mitandao ya simu (this is enough to us/me),i don't need extra information about him/her.
Hayo masaa yanatosha kabisa kupata riziki kama ipo.
Yanatosha only if anafanya biashara ktk sehemu zenye mikusanyko ya watu kama masoko makubwa makubwa ambapo maeneo hayo pia kufika saa 12-1 sheria inawataka wote wafunge lakini pia uhakika wa biashara wanao mchana.

ila hawa wa kuunga unga maeneo tofauti na hayo biashara hiyo haiwezekani kufungwa mida aliyotaja kwasababu wateja wa hiyo biashara wanajulikana wapo mida gani
Anyways kama ataweza aweke friji auze vinywaji hapo, au aweke computer awe ana burn movie, series,music etc... muhimu aangalie eneo alipo na uhitaji wa watu wa hapo
Vinywaji vya kuuzwa mchana tu masaa 10 unafikiri vitaweza mpa faida ya kuweka umeme wakuwasha hilo friji kwa masaa tajwa? na hapo hapo abaki na faida yake mfukoni?

A burn movie,series,music,etc Unajua gharama ya kuanzisha hyo biashara ya Movie,series,etc? tufanye uwezo huo anao. kwa hyo atafanya hiyo biashara saa ngapi ya movie,music,series na umesha msemea huko juu anaweza kuwa na watoto wadogo,mume anamuhitaji,mgonjwa,nk

Tunaposhauriana tushauriane vitu vinavyowezekana kufanyika na wakati mwingine sio lazima kumshauri mtu afungue biashara nyingine wakati uwezekano wa yeye kupata hela zaidi ktk biashara ile ile anayofanya bado Upo.

Na unapomshauri mtu mshauri biashara ambayo haitompa stress,sio mtu unamshauri biashara ambayo itafanya biashara yake ya mwanzo iyumbe au ife kabisa kutokana na kuzidiwa akili na biashara mpya aliyoshauriwa nae akafanya bila kufkiria.
 
Back
Top Bottom