Natafuta kazi ya usimamizi wa maroli ya mizigo au yeyote kuendana na nilichosomea

abutwalib

Senior Member
Feb 9, 2016
163
83
Habari zenu wana jukwaa,

Naitwa Twalib Jongo,

Ni kijana wa miaka 33

Nimesomea fani ya Usimamizi wa biashara 2018 (Degree of Business Adminstration).

Nna uzoefu wa kutosha kwenye tasnia ya usimamizi wa malori ya mizigo zaid ya miaka 4 (2019 > 2022) japo fani yangu inasimamia biashara yeyote japo sina uzoefu zaidi ya malori ila ikitokea tofauti na malori ntafanya maana najua jinsi kuendesha watu katika kazi husika.

ila kwa sasa sina kazi nimetafuta sana nimekosa nkaona acha nije jukwaani hapa niombe msaada huenda wapo wahitaji wakanisikia.

Nawaomba sana wanajukwaa nko tayari kufanya kazi mkoa wowote sehem yeyote iliyo salama kikazi.

Asante sana kwa mda wenu.

Mungu awazidishie kipato zaidi mlichonacho
 
Back
Top Bottom