Yeye kajiajiri kwenye kiofisi chake kidogo tu na kulingana na Huduma anayotoa anatikiwa kuwepo hapo kwa muda wa hayo masaa tajwa hapo juuOfisi nyingi za serikali hazina water fountain, (ingawa kwa sheria za Health and Safety ni lazima). Shost anaweza kununua maji na kuyauza ofisini.
Kuna ofisi za jirani? Au ni mtaa uliochangamka?Yeye kajiajiri kwenye kiofisi chake kidogo tu na kulingana na Huduma anayotoa anatikiwa kuwepo hapo kwa muda wa hayo masaa tajwa hapo juu
Ni wazo zuri ijapo hiyo sehemu alipo migahawa pia ipo, na pia ni sehemu zenye maduka ya jumla na reja rejaKuna ofisi za jirani? Au ni mtaa uliochangamka?
Anaweza kununua microwave, apike pilau usiku mchana akiwa kazini akauzia watu take away iliyopashwa moto
Aongeze kabati la stationery hapo ofisini, auze kalam, madaftari, Karatasi za photocopy na ikiwezekana photocopy machine.Ni wazo zuri ijapo hiyo sehemu alipo migahawa pia ipo, na pia ni sehemu zenye maduka ya jumla na reja reja
Na Mwisho wa Siku iwe Stationary kabisaAingeze kabati la stationery hapo ofisi I, auze kalam, madaktari, Karata si za photocopy na ikiwezekana photocopy machine.
kumbe kajiajiri tayari,nilijua ni muajiriwa ofisi flani..Yeye kajiajiri kwenye kiofisi chake kidogo tu na kulingana na Huduma anayotoa anatikiwa kuwepo hapo kwa muda wa hayo masaa tajwa hapo juu
Akikujibu naomba unitagkumbe kajiajiri tayari,nilijua ni muajiriwa ofisi flani..
kama kajiajiri basi aseme ni biashara gani anayofanya au aliojiajiri nayo kisha tumshauri biashara ya kufanya ndani ya biashara yake hiyo hiyo.
huwezi mshauri muuza mkaa au pumba za kuku auze chakula hapo hapo ofisini HAIWEZEKANI lazima ushauri ataopewa uendane au ukaribiane na biashara hiyo hiyo anayoifanya sasa hivi.