Dodoma mkinichaguwa nitawaletea meli ; jaka la kaya
Masaburi - Wabunge wa DSM wanafikilia kwa Makalio
Watu wameambia waeleze kauli tata za mawaziri lakini wanaleta hadi za JK, Lowassa, OCD....... Hao nao wamekuwa mawaziri?
6.Mwantumu Mahiza - Waliomaliza vyuo na kukosa ajira waanzishe miradi ya kufuga kuku inalipa sana.
7.Nape - Tutawashikisha ukuta.
8. Wassira - Mnaulizia mvua kwani nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua?
9. OCD Arusha - Wakazi wa Arusha ni mapanya.
Riz1 Mtoto wa Kiongozi - Mimi si Fisadi Naishi Kimjini mjini Nina kipande kidoogo cha Uwanja wa Urithi na Toyota Collola Hayo ma Vogue mnayoniona nayo si yangu Bongo tunaishi kijini mjini.. Lake Oil sio Yetu.
Shimbo!
pia kuna ile aliyosema 'mafisadi wana hela hawafungiki' pia Hajui kwa nini Tanzania ni masikini.Mizengwe iliyo pinda; tukishitaki mafisadi uchumi wa inchi utayumba
mie sio wingu nigeuke mvua pale mtera1. B. Mramba Waziri--- Ndege ya Raisi Lazima Inunuliwe ikiwezekana hata Wananchi Wale Nyasi.. 2. Ben Mkapa Raisi -- Ununuzi wa Migodi kwa Njia Za Ajabu na Watu wana Wivu wa Kijinga! 3. Magufuri -- Pigeni mbizi kama mkiona nauli ni Kubwa 4. Jk-- Huyu naona ajali kitu tumuache kesi zake ni kubwa tuiachie mahakama kuu- Kelele zenu hazinifanyi nishindwe kulala! 5. Mkulo -- Kila mwananchi atabeba Msalaba Wake... Serikali haimo 6... 7...
Vile ni vijicent tu!